Hivi Joyce Mhavile wa ITV mbona hastaafu mpaka leo?

Hivi Joyce Mhavile wa ITV mbona hastaafu mpaka leo?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
wakuu,huyu mama toka nianze kuijua itv naskia tu yeye akitajwa kama ndiye mkurugenzi wa itv.
so nauliza yeye ana hisa hapo itv au,mbona hastaafu?
 
Ana miaka mingapi?

ITV ni private entity wanaweza kuwa nae kwa kipindi wanachotaka wao , angekuwa TBC kweli ingeshangaza.

Samsung S8
 
We inakuhusu nn fanya yako ndo maana mnashindwa kesi mahakaman
 
Mbona Bashite aonyeshi vyeti mpaka leo usemi?
 
wakuu,huyu mama toka nianze kuijua itv naskia tu yeye akitajwa kama ndiye mkurugenzi wa itv.
so nauliza yeye ana hisa hapo itv au,mbona hastaafu?
Nyuma ya mafanikio ya Mwanaume lazma kuna mwanamke shupavu
 
Back
Top Bottom