Bigmaaan JF-Expert Member Joined Nov 25, 2023 Posts 660 Reaction score 1,438 Oct 14, 2026 #1 Naomba kuwa refreshed. Takribani kama miaka mi4 sijakanyaga kahama, je kwa sasa kuna viwanda gani vya maana vilivyopo katika wilaya ya Kahama?
Naomba kuwa refreshed. Takribani kama miaka mi4 sijakanyaga kahama, je kwa sasa kuna viwanda gani vya maana vilivyopo katika wilaya ya Kahama?
Bemendazole JF-Expert Member Joined Nov 14, 2020 Posts 2,760 Reaction score 6,921 Oct 14, 2026 #2 Viwanda vya mchele
OMOYOGWANE JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 5,315 Reaction score 13,269 Oct 14, 2026 #3 Kahama hakuna viwanda vipya ulivyo viacja ndivyo hivyo hivyo nilikuwa huko mapema mwaka huu
Bigmaaan JF-Expert Member Joined Nov 25, 2023 Posts 660 Reaction score 1,438 Oct 14, 2026 Thread starter #4 OMOYOGWANE said: Kahama hakuna viwanda vipya ulivyo viacja ndivyo hivyo hivyo nilikuwa huko mapema mwaka huu Click to expand... Ok Mkuu. Asante kwa Update
OMOYOGWANE said: Kahama hakuna viwanda vipya ulivyo viacja ndivyo hivyo hivyo nilikuwa huko mapema mwaka huu Click to expand... Ok Mkuu. Asante kwa Update
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,832 Reaction score 77,037 Oct 14, 2026 #5 Nakazia Vipo Vingi Sana Mpaka Atavichoka Bemendazole said: Viwanda vya mchele Click to expand...
A Afcon kinanuka JF-Expert Member Joined Apr 5, 2026 Posts 1,623 Reaction score 4,213 Oct 14, 2026 #6 Kulikuwa na viwanda vingi siku ya nyuma lakini alipoingia sa100 vyote ameviua.
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,915 Reaction score 23,531 Oct 14, 2026 #7 Vya mbususu