Hivi kama Christopher Mtikila angekuwa hai Samia na wenzake wangeyafanya haya?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709

Kichwa cha habari kiko wazi. Mtikila alijulikana alivyowatikisa watawala akiwamo Nyerere mwenyewe. Je, ahgekuwa hai, kweli haya mambo yangefanyika au kuishia hivi?
 
Huyu alikuwa mwamba sana.
Kati ya watu wachache waliofanikiwa kuishinda jamhuri mahakamani ktk kesi za kisiasa (za kikatiba).
Huyu hakuwa na ukurupukaji au utafutaji sifa bali hoja nzito sana.
 
Nchi imechafuka sana sahivi. Angekuwepo asingefika October 29.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…