Pasinge tosha..Kila mtu mjuaji kila baada ya kutangazwa baraza la mawaziri....wanapiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu...bunge linavunjwa..wanachagua tena so hakuna ambacho kingefanyika zaidi uchaguzi na maandamano.....
safiiii
Hiyo ni nzuri....unajua kwanini?nahisi wewe tungekupa wizara ya mambo ya nje
Jamaa, mnajua kuwaza...!
Ila vipi kuhusu vigezo na sera,, 2wekeni wazi wapiga kura wenu..
Isije ikawa mnagombania vyeo bila kujua majukumu yatakayowakabili...!
Hiyo ni nzuri....unajua kwanini?
Baada ya muda ntakuwa raisi kabisa mara rais atakapomaliza muda wake......
prezdaa - theboss
makamu - ashadii
prime minister - kongosho
spika - mtambuzi
waziri wa fedha - mamndenyi
ulinzi - bujibuji
prezdaa - theboss
makamu - ashadii
prime minister - kongosho
spika - mtambuzi
waziri wa fedha - mamndenyi
ulinzi - bujibuji
Umeona eee'like'
mbona wote wa chitchat na MMU?si ndo yatakuwa mambo ya Jay key
Nyie jigawieni mavyeo yenu laki Benki Kuu niachieni mimi ODM gavana mwenye kipaji cha kuzaliwa kwenye maswala ya EPA.
Erick Shem wangu umetisha lol!Wizara ya Udaku,Majungu na Ulevi
Waziri: Bagah
Naibu: Mtei One
Katibu: Smiling Saint
Wizara ya Mahusiano na Mapenzi na Kulinda Ndoa
Waziri: Cantalisia
Naibu: SweetLady
Katibu: Husninyo
Wizara Ya Kudunga watu Bann
Waziri:............
Naibu:.............
Katibu:............
Wizara ya Jokes
Waziri: Excellent
Naibu: SI Unit
Wizara ya Wanawake na Wanaume(Wote)
Waziri: Kongosho
Hana Naibu wala Katibu
Hahahahaaaa wizara ya Bann sijataja mtu mimi....@Ericky52, Mamndenyi keshaongea point sana, Tunasubiri kloro aje tuapishwe tu.
Afu una utani na wizara ya ban, saa hivi utakuwa maziwa fresh.
Teh Wizara Siasa najua ni ngumu sana kuigawa kwa kuwa kuna tofauti ya kivyama so tunaivunja hadi tutakapoafikia muafaka kama Waziri atoka SISIEMU au CDMErick Shem wangu umetisha lol!
Asa km serikali yenyewe itakua na wizara km hizi hhahahhaaha,
Hope itakua ni aina ya kwanza ya serikali duniani!
Asante kwa wizara hiyo,najiamin kwa weledi nilionao na uzoefu wa mambo hayo nitaisimamia vyema kbs na sitamwangusha Rais wangu kamwe.