Nikipewa hiyo napiga marufuku kuingia JF Via Mobile. Afu ntalazimisha nipewe access ya kusoma PM zote za wanaJF MMU na chit chat. Vinginevyo JF inafungiwa.
Wizara yoyote utakayopewa mi katibu wako!
Bila kumsahau Shost.....mamaa wa jukwaahii wizara ni ngumu sana wewe kuipata
ina watu wazito sana kama:
kimbweka,
blackrhino,
rungu,
gambalanyoka,
kayoka,
njowepo,
elitoro,
young_master,
jestina,
na wengine wenye majina makubwa sana
je unaweza kupambana nao.
Kule ukiweka makazi uwe umejiandaa na kwenda jela!Hahahahahaaa siku hizi nimegundua jukwaa lile ni la kupita tu na sikuweka makazi
Cv mkuu.......najivunia cv yangu.........kwa kukuhakikishia ni kwamba ntawagonga mademu wote watakao shika wizara.......kudadadadeki.hii wizara ni ngumu sana wewe kuipata
ina watu wazito sana kama:
kimbweka,
blackrhino,
rungu,
gambalanyoka,
kayoka,
njowepo,
elitoro,
young_master,
jestina,
na wengine wenye majina makubwa sana
je unaweza kupambana nao.
Nikipewa hiyo napiga marufuku kuingia JF Via Mobile. Afu ntalazimisha nipewe access ya kusoma PM zote za wanaJF MMU na chit chat. Vinginevyo JF inafungiwa.
Hapo nani atamruhusu waambatane kama kumbikumbi?na alivyo kuwa kiwembe sijui kama
mtafanya kazi,
safari zitazidi hata zile za vascodagama.
Nikipewa cheo ntaanza na kumsamehe aliyenipiga BAN tar. 06-12-2011 hadi kuwa huru tar. 06-01-2012.
Yani ntamsamehe na ntajaribu kumsahau!
Wizara ya Udaku,Majungu na Ulevi
Waziri: Bagah
Naibu: Mtei One
Katibu: Smiling Saint
Wizara ya Mahusiano na Mapenzi na Kulinda Ndoa
Waziri: Cantalisia
Naibu: SweetLady
Katibu: Husninyo
Wizara Ya Kudunga watu Bann
Waziri:............
Naibu:.............
Katibu:............
Wizara ya Jokes
Waziri: Excellent
Naibu: SI Unit
Wizara ya Wanawake na Wanaume(Wote)
Waziri: Kongosho
Hana Naibu wala Katibu
Hahahahaaaaa aisee jela ndo maana Malaria Sugu wamemdunga bann ya kudumu aiseee dahKule ukiweka makazi uwe umejiandaa na kwenda jela!
Tuachane na hayo mkuu,mimi nataka samaki sato na kambare wale wakubwa vp watapatikana?Cv mkuu.......najivunia cv yangu.........kwa kukuhakikishia ni kwamba ntawagonga mademu wote watakao shika wizara.......kudadadadeki.
So nafasi hiyo nipewe pls.
Hapo nani atamruhusu waambatane kama kumbikumbi?
Hujui mi ntakuwa waziri wa Mambo ya nje so kokote aendako nitakuwa nae....
Asprin simwamini kabisa
HAhahahahaaaa mi sielewiiiiii gawaneni wenyewe...mngoje Bagah na Mtei mkae kama wizara mi simo tenahapa nakata rufaaaa!!
1. hiyo wizara uliyoniweka ni sawa na kusema Waziri Six, Naibu EL, Katibu Slaa!!! wapi na wapi?
2. hao watatu sijui utakuwa ni utatu upi huo?
3.kwenye udaku simo labda hii wizara kama akipewa Excellent, Mentor na Jaguar hawa ni manguli wa jukwaa la jokes kule!
Asprin anatakiwa awe na Wizara yake mwenyewe....Aprini awe waziri wa maji,
ila tahadhari wasije mmaliza mgongo.
na alivyo kuwa kiwembe sijui kama
mtafanya kazi,
safari zitazidi hata zile za vascodagama.
Ivo eee!sijasoma mambo yake siku nyingi,Hahahahaaaaa aisee jela ndo maana Malaria Sugu wamemdunga bann ya kudumu aiseee dah
Mam,mie nishapewa hii hapa na nimeikubali ww unaonaje hapa!
Wizara ya Mahusiano na Mapenzi na Kulinda Ndoa
Waziri: Cantalisia
Naibu: SweetLady
Katibu: Husninyo
Samaki wengi mkuu!Tuachane na hayo mkuu,mimi nataka samaki sato na kambare wale wakubwa vp watapatikana?
Na ntawapata kwa utaratibu gani?I'm serious mkuu!
Hope babu ODM akiwa na wizara ya jina hili itafaa,Asprin anatakiwa awe na Wizara yake mwenyewe....
Kama inawezekana tumtafutie jina la wizara