Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Vilio vya wananchi vimekuwa vingi sana mpaka wabunge wa CCM naona kama pale dodoma ni kujaza vyoo vya dodoma.
wananchi ndio viongozi wao ila leo mpaka mawaziri wakiongea kwa kejeli kuwa wanajitka,hakuna kosa kwenye serikali kukosea,TRA siyo tatizo.
ili litafikia mwisho kwa nchi zilizochoka.
JF mnapenda kufuta na kufanya mada isiwe na watu?