MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Jumamosi rais Uhuru aliwatumia Watanzania salamu za rambirambi rasmi kutokea ikulu kwa ajili ya msiba uliowakuta kule Morogoro, hapa nauliza ni marais wagani wengine waliwakumbuka kuanzia huko SADC hadi EAC.