Hivi Karia lini anamaliza muhula wake wa Uongozi?

Mbn kuna wanasema ki Takwimu soka letu na ligi vimekuaa chini ya uongozi wake
Kaka Mpira wa Bongo umekua coz ya issue ya mda sio kwa issue ya Uongozi wa Mtu ndio maana unaona maendeleo sio makubwa.
Nikuelekeze kitu kidogo.
Maendeleo yoyote dunian hua yanaletwa na vitu viwili.
1.Uongozi au Taasis Imara.
Ukifeli Uongozi au kukiwa hakuna Taasis Imara badi
2.Mda(Time) utaleta maendeleo.

Mfano sisi Tanzania Maendeleo tuliyonayo kama Nchi yanaletwa na Mda sio Viongozi..The same to soka letu.
 
Nashukuru Roho yangu imesuzika kumbe Mwakan tu?? Asante Mungu.
 
Kama chama hivyo tulia tu.
 
Mda mbona haujaleta maendeleo Uganda, kenya na kwingineko?
 
Mda mbona haujaleta maendeleo Uganda, kenya na kwingineko?
Jibu ni simple bado mda haujafika..
Yan ukitaka kuelewa ni kua Mfano una simu Version yake ni 4 then mda unaenda sana inafikia hatua hakuna simu hizo za Version hio simu zote ni Version ya 11 na hapo huna hela ya kunua simu nyingine ila bado ina support pamoja na vesion yake hiohio ila baad ya mda simu ina stak inaacha kufanya kazi na una hitaji wa kuwasiliana so hapo zile hoja zako za kusema nimepata hela ndio maana nimenunua ni uongo utanunua coz simu yako imepitwa na mda so utakua umepiga hatua kwa kulazimishwa na mda.
 
Kwani ni nini tumefanya kwenye soka letu ambacho kenya hawajafanya? Ubora wa the cranes unaweza fananisha na taifa stars?
Well Cranes na Stars walikuwa kundi moja, stars Alifuzu You know what happened to Cranes sina haja ya kusema.

Sijawahi ona Vilabu vya kenya na Uganda vikiwa consisntent kwenye Continental Comp.
Nimeona kwa Tanzania.
 
Hiyo kufuzu ni mara moja tu tena tumefuzu kwa msaada wa algeria, pia ile ya nyuma tulifuzu kwa msaada wa ug
 
Well Cranes na Stars walikuwa kundi moja, stars Alifuzu You know what happened to Cranes sina haja ya kusema.

Sijawahi ona Vilabu vya kenya na Uganda vikiwa consisntent kwenye Continental Comp.
Nimeona kwa Tanzania.
Kwa taarifa yako hao wakenya hadi wameshakuwa mabingwa kabisa kwenye kombe la vilabu barani afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…