Hivi karibuni nitakuja na kisa cha kusisimua kuhusu JPM, Kasesera na Mchungaji Msigwa

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Ulishawahi kujiuliza, kwa nini JPM alibaki na Kasesera ambaye ni mwandani lia lia wa Benard Membe?!

Utaamini kwamba pamoja na mbwembwe zote Mchungaji Msigwa alikuwa mlisha habari wa JPM kutoka upande ule?!

Kwa nini JPM alimrejesha RAS yule kuwa DG....?!

Simulizi hiyo ifuatayo itakufanya aghalabu uielewe dhana nzima ya "uwapo, wapo."

Ni hivi karibuni.....
 
Acha ujinga unaleta nusu ili iweje ,unaweka tangazo ili iweje?

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Code hii ngumu
 
leta madini hayo bibie,maana tushavurugwa huku na maboss,tusukumize week end yetuu
 
Tunangoja sana kwa hamu. Ila yote tisa, 10... (au basi!) 🙂
 
Ila Kasesera jamani anvyojua kujikomba kwa wakubwa na watoto wa wakubwa hadi anapitiliza ,jamaa hana soni sijui ni Mnyakyusa wa wapi huyu jamaa hata ukiwa chawa basi jiheshimu na uonyeshe uthubutu wako, maisha sio ya kuwa mwanasiasa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…