Pre GE2025 Hivi kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA ni chama gani kinakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi Tanzania kwa sasa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tla

Ingechukuliwa kura za online tuone ni kwa kiasi gani CHADEMA iko at last moments of no More.
ntatengeneza poll tukielekea uchaguzi wa serikali za mitaa tuone....

kwan wew mpaka sasa una IDs ngap humu JF gentleman?πŸ’
 
Mwanzo ilikuwa NCCR mageuzi ya Mrema, baadae ikawa CUF ya Lipumba, halafu imekuwa chadema ya Mbowe, amini usiamini baada ya uchaguzi wa mwakani ACT WAZALENDO ndio kitakuwa Chama kikuu Cha upinzani TZ.
una logic yenye maana aise, dah? hebu tusubiri tuone baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa uelekeo utakuaje kwa vyama hiviπŸ’
 
Acha kufananisha CHADEMA na vitu vya ajabu ajabu.
kwasabb gani niache kufanya hivyo hali ya kua,
kwanza ni vyama vya siasa ambavyo ni mali ya umma, lakini pili ni uhuru na haki ya kikatiba kwa mwananchi yeyote yule, kutoa maoni na mtazamo wake juu ya masuala mbalimbali ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa....

kwani hufahamu au kuelewa hilo gentleman? πŸ’
 
Kamuulize Awadhi.
 
Mwanzo ilikuwa NCCR mageuzi ya Mrema, baadae ikawa CUF ya Lipumba, halafu imekuwa chadema ya Mbowe, amini usiamini baada ya uchaguzi wa mwakani ACT WAZALENDO ndio kitakuwa Chama kikuu Cha upinzani TZ.

Amka usingizini, siasa sio stori za vijiweni.
 
KWASASA HAKUNA CHAMA CHAUPINZANI KINACHOAMINIKA WATU WAMEPOTEZA IMANI NAHIVYO VYAMA KUTOKANA NA VIONGOZI WAHIVYO VYAMA KUTANGULIZA MASLAHI YAO MBELE KULIKO MASLAHI YA NCHI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…