Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepoat then umekuja kivingine kuchangia?Tatizo chadema kimevamiwa na wahuni, wanatukana hovyo, ACT kina utulivu, hata wakipewa urais, nchi itaendelea kuwa tulivu
una logic yenye maana aise, dah? hebu tusubiri tuone baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa uelekeo utakuaje kwa vyama hivi🐒Mwanzo ilikuwa NCCR mageuzi ya Mrema, baadae ikawa CUF ya Lipumba, halafu imekuwa chadema ya Mbowe, amini usiamini baada ya uchaguzi wa mwakani ACT WAZALENDO ndio kitakuwa Chama kikuu Cha upinzani TZ.
kwasabb gani niache kufanya hivyo hali ya kua,Acha kufananisha CHADEMA na vitu vya ajabu ajabu.
Ukweli ndo huoudini tena gentleman?🐒
Kamuulize Awadhi.Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo November 27.2024?
Na je, hicho kinaweza kutumika kama kipimo cha kukubalika kwao kisiasa na wastani wa kiasi cha kura watakachoambulia kuelekea uchaguzi mkuu ujao 2025, wa Rais, wabunge na madiwani? 🐒
Mungu Ibariki Tanzania 🐒
Heri Act kuliko chadema mkuu actvni chama cha siasa chadema wahuni watupu hawana seraAcha kufananisha CHADEMA na vitu vya ajabu ajabu.
Ccm na chadema kina esnachama wrngi kila mkoa ila hicho kimejikita zenji na kgm hapo ubataka ushahidi upi mankwahivyo wana chadema na wengineo wa vyama vingine hawana dini right?🐒
Hapana mkuu, tatizo nyie kizazi cha kubeti, mnataka mbeti kila kitu kama unavyofanya hapaUmepoat then umekuja kivingine kuchangia?
Mwanzo ilikuwa NCCR mageuzi ya Mrema, baadae ikawa CUF ya Lipumba, halafu imekuwa chadema ya Mbowe, amini usiamini baada ya uchaguzi wa mwakani ACT WAZALENDO ndio kitakuwa Chama kikuu Cha upinzani TZ.