Pre GE2025 Hivi kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA ni chama gani kinakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi Tanzania kwa sasa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema kimejipambanua kwa dhati kabisa kuwa sambamba na CCM.
Kwa hiyo kwa miaka nenda rudi vya siasa TZ vitakavyokuwa vinashindana ni hivyo viwili.Ni kama Uingereza ,Labour na Conservative,au Marekani,Democrat na Republican.
Ni jambo jema kuwa na siasa za vyama vingi za aina hii.
Isiwe kama Kenya ambako kuna uholela wa vyama.
 
chadema
 
Hakuna chama cha siasa kinaaminika hapa nchini, hata kile dume nacho hamna kitu
 
ntatengeneza poll tukielekea uchaguzi wa serikali za mitaa tuone....

kwan wew mpaka sasa una IDs ngap humu JF gentleman?πŸ’
Tla

Ninayo moja, tena kuingia kwa manati. Sababu majukumu yananichukulia muda sana.

Itapendeza kama utatengeneza mkuu.
 
Tla

Ninayo moja, tena kuingia kwa manati. Sababu majukumu yananichukulia muda sana.

Itapendeza kama utatengeneza mkuu.
sawa,
hongera sana kwa majukumu, na hiyo ndio sawa πŸ‘ŠπŸ’ͺ
 
nafanyia kazi huo udhati, kwamba uko eneo gani hasa maana watu wanaingia na kutoka πŸ’
 
Chadema ni chama ambacho kina wahuni sana wazee wa matusi
wana yaporomosha matusi mazito mazito sanaeee 🀣

huenda ni slogan au utambulisho wao mpya, nafanya utafiti kujua kulikoni hasa hali hiyo πŸ’
 
TLP
 
Tuulizie kati ya ccm A na B kipi kina kubalika zaidi?
 
Amka usingizini, siasa sio stori za vijiweni.
kuanzia tarehe 30, karibu hapo karume sokoni jijini dar es salaam kuanzia saa12 alfajiri kwenye Bunge la kahawa uskie siasa zinavyochambuliwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji mapema November 27,2024...

then ndio utaelewa nini maana na umuhimu vijiwe hasa katika siasa achilia mbali mpira wa miguu πŸ’
 
KWASASA HAKUNA CHAMA CHAUPINZANI KINACHOAMINIKA WATU WAMEPOTEZA IMANI NAHIVYO VYAMA KUTOKANA NA VIONGOZI WAHIVYO VYAMA KUTANGULIZA MASLAHI YAO MBELE KULIKO MASLAHI YA NCHI
Yes,
kuna ukweli kwenye hilo aise πŸ’
 
Mkuu nasikia Pendeza na Msigwa wanataka kurudi chadema ,nini maoni yako? Nasikia hata wakiwa kwenye mikutano ya ccm mbele ya Adhala wanataja chadema kutokana na kiu yao kuwa kubwa, nini maoni yako.
 
Mkuu nasikia Pendeza na Msigwa wanataka kurudi chadema ,nini maoni yako? Nasikia hata wakiwa kwenye mikutano ya ccm mbele ya Adhala wanataja chadema kutokana na kiu yao kuwa kubwa, nini maoni yako.
labda unipe muda kidogo nifatilie na kujiridhisha kisha ndipo niwe na haki na uhuru wa kutoa maoni yangu vizuri kitaalamu zaidi...

si unajua wabobevu hatunaga mihemko wala hatubahatishi kwenye maswala ya uchambuzi kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa?πŸ’
 
sababu ni nyingi kwa kifupi ni kwamba ACT ina nguvu zanzibar ila bara haina nguvu pia zitto mwanzilishi wa ACT hakubaliki tena bara watu wanamwona mnafiki
na kinyume chake ndivyo Chadema ilivyo, right?πŸ’
 
Sawa mbobezi ni matumaini yangu sio mda utakuja najibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…