kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,390
- 1,431
Chadema ni chama ambacho kina wahuni sana wazee wa matusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema kimejipambanua kwa dhati kabisa kuwa sambamba na CCM.Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo November 27.2024?
Na je, hicho kinaweza kutumika kama kipimo cha kukubalika kwao kisiasa na wastani wa kiasi cha kura watakachoambulia kuelekea uchaguzi mkuu ujao 2025, wa Rais, wabunge na madiwani? 🐒
Mungu Ibariki Tanzania 🐒
chademaTunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo November 27.2024?
Na je, hicho kinaweza kutumika kama kipimo cha kukubalika kwao kisiasa na wastani wa kiasi cha kura watakachoambulia kuelekea uchaguzi mkuu ujao 2025, wa Rais, wabunge na madiwani? 🐒
Mungu Ibariki Tanzania 🐒
Hakuna chama cha siasa kinaaminika hapa nchini, hata kile dume nacho hamna kituTunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo November 27.2024?
Na je, hicho kinaweza kutumika kama kipimo cha kukubalika kwao kisiasa na wastani wa kiasi cha kura watakachoambulia kuelekea uchaguzi mkuu ujao 2025, wa Rais, wabunge na madiwani? 🐒
Mungu Ibariki Tanzania 🐒
Tlantatengeneza poll tukielekea uchaguzi wa serikali za mitaa tuone....
kwan wew mpaka sasa una IDs ngap humu JF gentleman?🐒
nafanyia kazi huo udhati, kwamba uko eneo gani hasa maana watu wanaingia na kutoka 🐒Chadema kimejipambanua kwa dhati kabisa kuwa sambamba na CCM.
Kwa hiyo kwa miaka nenda rudi vya siasa TZ vitakavyokuwa vinashindana ni hivyo viwili.Ni kama Uingereza ,Labour na Conservative,au Marekani,Democrat na Republican.
Ni jambo jema kuwa na siasa za vyama vingi za aina hii.
Isiwe kama Kenya ambako kuna uholela wa vyama.
TLPTunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo November 27.2024?
Na je, hicho kinaweza kutumika kama kipimo cha kukubalika kwao kisiasa na wastani wa kiasi cha kura watakachoambulia kuelekea uchaguzi mkuu ujao 2025, wa Rais, wabunge na madiwani? 🐒
Mungu Ibariki Tanzania 🐒
Tuulizie kati ya ccm A na B kipi kina kubalika zaidi?Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo November 27.2024?
Na je, hicho kinaweza kutumika kama kipimo cha kukubalika kwao kisiasa na wastani wa kiasi cha kura watakachoambulia kuelekea uchaguzi mkuu ujao 2025, wa Rais, wabunge na madiwani? 🐒
Mungu Ibariki Tanzania 🐒
kuanzia tarehe 30, karibu hapo karume sokoni jijini dar es salaam kuanzia saa12 alfajiri kwenye Bunge la kahawa uskie siasa zinavyochambuliwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji mapema November 27,2024...Amka usingizini, siasa sio stori za vijiweni.
Mkuu nasikia Pendeza na Msigwa wanataka kurudi chadema ,nini maoni yako? Nasikia hata wakiwa kwenye mikutano ya ccm mbele ya Adhala wanataja chadema kutokana na kiu yao kuwa kubwa, nini maoni yako.Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo November 27.2024?
Na je, hicho kinaweza kutumika kama kipimo cha kukubalika kwao kisiasa na wastani wa kiasi cha kura watakachoambulia kuelekea uchaguzi mkuu ujao 2025, wa Rais, wabunge na madiwani? 🐒
Mungu Ibariki Tanzania 🐒
labda unipe muda kidogo nifatilie na kujiridhisha kisha ndipo niwe na haki na uhuru wa kutoa maoni yangu vizuri kitaalamu zaidi...Mkuu nasikia Pendeza na Msigwa wanataka kurudi chadema ,nini maoni yako? Nasikia hata wakiwa kwenye mikutano ya ccm mbele ya Adhala wanataja chadema kutokana na kiu yao kuwa kubwa, nini maoni yako.
sababu ni nyingi kwa kifupi ni kwamba ACT ina nguvu zanzibar ila bara haina nguvu pia zitto mwanzilishi wa ACT hakubaliki tena bara watu wanamwona mnafikikwanini?🐒
kwa kifupi tu
Sawa mbobezi ni matumaini yangu sio mda utakuja najibulabda unipe muda kidogo nifatilie na kujiridhisha kisha ndipo niwe na haki na uhuru wa kutoa maoni yangu vizuri kitaalamu zaidi...
si unajua wabobevu hatunaga mihemko wala hatubahatishi kwenye maswala ya uchambuzi kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa?🐒