Pre GE2025 Hivi kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA ni chama gani kinakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi Tanzania kwa sasa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ushabiki wa watu kwenye hivyo vyama haupo kwenye ubora wa vyama husika kama sera n.k, ni kama ushabiki wa simba na yanga tu.
 
ntatengeneza poll tukielekea uchaguzi wa serikali za mitaa tuone....

kwan wew mpaka sasa una IDs ngap humu JF gentleman?πŸ’
Akina mdude na erythrocytes watatengeneza multiple IDs wapige kura mara nyingi,maana hushinda mitandaoni
 
Akina mdude na erythrocytes watatengeneza multiple IDs wapige kura mara nyingi,maana hushinda mitandaoni
nadhani hiyo itakua ni kuwapotosha chama chao kwa makusudi kabisa na bila maana au manufaa yoyote,

nadhani wamefanya hivyo katika mambo mengi na daima matokeo yake ni aibu na fedheha kwenye chama chao mbele ya wananchi πŸ’
 
ACT = CCM
Lissu alitamka maneno kama hayo kwamba ACT inatumika tu CCM na kwamba si chama cha upinzani na akamtaja hadi marehemu Anna Mgwira kuwa alikuwa anatumika tu na CCM, ila baadaye Chadema na Lissu akiwemo kama mgombea urais wakaja kushirikiana na ACT katika uchaguzi.

Siasa za bongo ni kama tambo za simba na yanga tu.
 
Ushabiki wa watu kwenye hivyo vyama haupo kwenye ubora wa vyama husika kama sera n.k, ni kama ushabiki wa simba na yanga tu.
sure,
ingekua ni uanachama wa vya na ushabiki wa kujikita kwenye sera na mipango, kwakweli kama taifa tungekua tumepiga hatua kubwa mno kimaendeleo πŸ’
 
halafu na Lisu huyo huyo nae huenda anaelekea CCM dah!🀣
 
Tatizo chadema kimevamiwa na wahuni, wanatukana hovyo, ACT kina utulivu, hata wakipewa urais, nchi itaendelea kuwa tulivu
Kwamba ccm haina wahuni? Moaka wanatishia watu maisha live na hawafanywi kitu?
 
mimi sio mwanachadema wala act lakin kwa maon yangu vyama vyote vina mapungufu ila act kwa bara haina nguvu kama chadema
uko sahihi, pia chadema haina nguvu Zanzibar kama bara πŸ’
 
halafu na Lisu huyo huyo nae huenda anaelekea CCM dah!🀣
Sasa hapo ndio utaona waliyokuwa mashabiki wake wataishia kumtukana na kueleza mapungufu yake ambayo hawakuweza kuyasema wakati akiwa bado yupo Chadema, watasema kanunuliwa ila hawana muda wa kujiuliza kuhusu waliyobaki kwenye chama na hicho chama chenyewe.
 
Hahah umesahau kauli za viongozi wa uvccm? Na mamlaka zinawaangalia tu?
aah kumbe kauli tu ambazo hata kamanda Benson Kigaila huwa anazitoa kwamfano ooh hatutakubali kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya, na wanaingia bila mbambamba yoyote...

au hata Lisu tu majuzi katoa kauli kwamba viongozi wa Chadema wasipoacha kutoa na kupokea rushwa ataondoka Chadema n.kπŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…