Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
kwa hiyo ni muhimu zaidi kumuamini Mungu pekee, right?🐒
Tuanzie hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo ni muhimu zaidi kumuamini Mungu pekee, right?🐒
Kumbe nyumbu,chawa wa khakiAcha kufananisha CHADEMA na vitu vya ajabu ajabu.
Ngosha katika ubora wake. Zaidi ya hapo akili imafinywa.Hicho ni chama cha waislam tz maana kiko miko sehem za waislam zenji na mawese city basi kwingine huko ni ushahid.
Akina mdude na erythrocytes watatengeneza multiple IDs wapige kura mara nyingi,maana hushinda mitandaonintatengeneza poll tukielekea uchaguzi wa serikali za mitaa tuone....
kwan wew mpaka sasa una IDs ngap humu JF gentleman?🐒
nadhani hiyo itakua ni kuwapotosha chama chao kwa makusudi kabisa na bila maana au manufaa yoyote,Akina mdude na erythrocytes watatengeneza multiple IDs wapige kura mara nyingi,maana hushinda mitandaoni
Lissu alitamka maneno kama hayo kwamba ACT inatumika tu CCM na kwamba si chama cha upinzani na akamtaja hadi marehemu Anna Mgwira kuwa alikuwa anatumika tu na CCM, ila baadaye Chadema na Lissu akiwemo kama mgombea urais wakaja kushirikiana na ACT katika uchaguzi.ACT = CCM
sure,Ushabiki wa watu kwenye hivyo vyama haupo kwenye ubora wa vyama husika kama sera n.k, ni kama ushabiki wa simba na yanga tu.
halafu na Lisu huyo huyo nae huenda anaelekea CCM dah!🤣Lissu alitamka maneno kama hayo kwamba ACT inatumika tu CCM na kwamba si chama cha upinzani na akamtaja hadi marehemu Anna Mgwira kuwa alikuwa anatumika tu na CCM, ila baadaye Chadema na Lissu akiwemo kama mgombea urais wakaja kushirikiana na ACT katika uchaguzi.
Siasa za bongo ni kama tambo za simba na yanga tu.
mimi sio mwanachadema wala act lakin kwa maon yangu vyama vyote vina mapungufu ila act kwa bara haina nguvu kama chademana kinyume chake ndivyo Chadema ilivyo, right?🐒
Kwamba ccm haina wahuni? Moaka wanatishia watu maisha live na hawafanywi kitu?Tatizo chadema kimevamiwa na wahuni, wanatukana hovyo, ACT kina utulivu, hata wakipewa urais, nchi itaendelea kuwa tulivu
Hahah umesahau kauli za viongozi wa uvccm? Na mamlaka zinawaangalia tu?wapi huko aise?
na wanatishika kabisa dah!🐒
Sasa hapo ndio utaona waliyokuwa mashabiki wake wataishia kumtukana na kueleza mapungufu yake ambayo hawakuweza kuyasema wakati akiwa bado yupo Chadema, watasema kanunuliwa ila hawana muda wa kujiuliza kuhusu waliyobaki kwenye chama na hicho chama chenyewe.halafu na Lisu huyo huyo nae huenda anaelekea CCM dah!🤣
aah kumbe kauli tu ambazo hata kamanda Benson Kigaila huwa anazitoa kwamfano ooh hatutakubali kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya, na wanaingia bila mbambamba yoyote...Hahah umesahau kauli za viongozi wa uvccm? Na mamlaka zinawaangalia tu?
Ndio hivyo ni mtu ambaye ajielewi anaye weza wapa kurawana yaporomosha matusi mazito mazito sanaeee 🤣
huenda ni slogan au utambulisho wao mpya, nafanya utafiti kujua kulikoni hasa hali hiyo 🐒