kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,390
- 1,431
π€£π€£π€£si unajua sisi ni washamba na akili hatuna ila cha ajabu ndo kabila kubwa na jiji letu ndo no 2 kwa mapato na ukubwa USISAHAU chakula unacho weka mezan asilimia 70 kuna mkono wa ngosha πNgosha katika ubora wake. Zaidi ya hapo akili imafinywa.
ni kweliuko sahihi, pia chadema haina nguvu Zanzibar kama bara π
Kauli za wakipoteza watu polisi wasijiangaishe kuwatafuta, kauli za kuwadunga sindano za sumu?aah kumbe kauli tu ambazo hata kamanda Benson Kigaila huwa anazitoa kwamfano ooh hatutakubali kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya, na wanaingia bila mbambamba yoyote...
au hata Lisu tu majuzi katoa kauli kwamba viongozi wa Chadema wasipoacha kutoa na kupokea rushwa ataondoka Chadema n.kπ
kulikua na kauli uhaini za nchi kutotawalika, ngangari , jino kwa jino na kuna watawala wanaendelea kutawala mpaka sasa unazungumzia hilo jepesi tu la majuzi? πKauli za wakipoteza watu polisi wasijiangaishe kuwatafuta, kauli za kuwadunga sindano za sumu?
muongeze bidii sasa mchele wa shinyanga ni mtamu ila ni kidogo sokoni, au mmeanza uvivu tena?ππ€£π€£π€£si unajua sisi ni washamba na akili hatuna ila cha ajabu ndo kabila kubwa na jiji letu ndo no 2 kwa mapato na ukubwa USISAHAU chakula unacho weka mezan asilimia 70 kuna mkono wa ngosha π
shikilia hapo hapo, subiri kidogo πTuanzie hapa
View attachment 3072342
kwenye siasa za nchi hii lolote linaweza kutokea itategemea na TISS CCM wanamtaka nani kwa wakati huokwahivyo unataka kusema ni ngoma droo au tusubiri uchaguzi wa serikali za mitaa ndio utaamua?π
Wewe gen z huwezi kuelewa.Amka usingizini, siasa sio stori za vijiweni.
Dogo Maswali ya kitotoTunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo November 27.2024?
Na je, hicho kinaweza kutumika kama kipimo cha kukubalika kwao kisiasa na wastani wa kiasi cha kura watakachoambulia kuelekea uchaguzi mkuu ujao 2025, wa Rais, wabunge na madiwani? π
Mungu Ibariki Tanzania π
hakunaTunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo November 27.2024?
Na je, hicho kinaweza kutumika kama kipimo cha kukubalika kwao kisiasa na wastani wa kiasi cha kura watakachoambulia kuelekea uchaguzi mkuu ujao 2025, wa Rais, wabunge na madiwani? π
Mungu Ibariki Tanzania π
ACT ni chama cha watu wanaojielewa wasio na hitikadi za kinyumbu na mihemukoTunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo November 27.2024?
Na je, hicho kinaweza kutumika kama kipimo cha kukubalika kwao kisiasa na wastani wa kiasi cha kura watakachoambulia kuelekea uchaguzi mkuu ujao 2025, wa Rais, wabunge na madiwani? π
Mungu Ibariki Tanzania π
Swali la ovyo kabisa. Hizo zote ni NGO, siyo vyama. Chama ni CCM tu.Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo November 27.2024?