Pre GE2025 Hivi kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA ni chama gani kinakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi Tanzania kwa sasa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sifa za kuwa chadema
1:uwe na sauti nzito ya kufokea
2:Uwachokoze polisi wakukamata useme unapigania wa tz
3:Matusi
 
aah kumbe kauli tu ambazo hata kamanda Benson Kigaila huwa anazitoa kwamfano ooh hatutakubali kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya, na wanaingia bila mbambamba yoyote...

au hata Lisu tu majuzi katoa kauli kwamba viongozi wa Chadema wasipoacha kutoa na kupokea rushwa ataondoka Chadema n.k🐒
Kauli za wakipoteza watu polisi wasijiangaishe kuwatafuta, kauli za kuwadunga sindano za sumu?
 
kulikua na kauli uhaini za nchi kutotawalika, ngangari , jino kwa jino na kuna watawala wanaendelea kutawala mpaka sasa unazungumzia hilo jepesi tu la majuzi? 🐒

na by the way ,
ni mambo hatari ya kisiasa, lakini very serious 🐒
 
🤣🤣🤣si unajua sisi ni washamba na akili hatuna ila cha ajabu ndo kabila kubwa na jiji letu ndo no 2 kwa mapato na ukubwa USISAHAU chakula unacho weka mezan asilimia 70 kuna mkono wa ngosha 😎
muongeze bidii sasa mchele wa shinyanga ni mtamu ila ni kidogo sokoni, au mmeanza uvivu tena?🐒
 
Amka usingizini, siasa sio stori za vijiweni.
Wewe gen z huwezi kuelewa.
Watu wazima tumeona mengi kabla hujazaliwa !.
wewe ulivyozaliwa ukaona chama kikubwa ni chadema sasa ukiambiwa Kuna vyama viliwahi kuwa vikubwa baadae vikaanguka unasema ni stori za vijiweni. UTOTO RAHA KWELI KWELI.
 
Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo November 27.2024?

Na je, hicho kinaweza kutumika kama kipimo cha kukubalika kwao kisiasa na wastani wa kiasi cha kura watakachoambulia kuelekea uchaguzi mkuu ujao 2025, wa Rais, wabunge na madiwani? 🐒

Mungu Ibariki Tanzania 🐒
Dogo Maswali ya kitoto
 
h

hakuna
 
ACT ni chama cha watu wanaojielewa wasio na hitikadi za kinyumbu na mihemuko
 
Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo November 27.2024?

Na je, hicho kinaweza kutumika kama kipimo cha kukubalika kwao kisiasa na wastani wa kiasi cha kura watakachoambulia kuelekea uchaguzi mkuu ujao 2025, wa Rais, wabunge na madiwani? 🐒

Mungu Ibariki Tanzania 🐒
Swali la ovyo kabisa. Hizo zote ni NGO, siyo vyama. Chama ni CCM tu.
 
Angalia viongozi wa chama gani wanaandamwa sana na sirikali 😀. Hao ni tishio kwa watawala, kwasababu wanawafuasi wengi, husani vijana.
 
Back
Top Bottom