Pre GE2025 Hivi kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA ni chama gani kinakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi Tanzania kwa sasa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu Matokeo huenda yalishapangwa! CCM kuzoa vijiji vyote!
Chadema,ACT,CUF,sujui CHAUSTA wasitegemee labda huruma tu basi.
 
Hapo ni sawa na kulinganisha mji wa mafinga na Jiji la Mwanza
Chama dume Chadema unalinganisha na ACT kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…