S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 6,845 Reaction score 10,071 Aug 21, 2024 #101 Mkuu Matokeo huenda yalishapangwa! CCM kuzoa vijiji vyote! Chadema,ACT,CUF,sujui CHAUSTA wasitegemee labda huruma tu basi.
Mkuu Matokeo huenda yalishapangwa! CCM kuzoa vijiji vyote! Chadema,ACT,CUF,sujui CHAUSTA wasitegemee labda huruma tu basi.
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Aug 21, 2024 #102 Hapo ni sawa na kulinganisha mji wa mafinga na Jiji la Mwanza Chama dume Chadema unalinganisha na ACT kweli?
Hapo ni sawa na kulinganisha mji wa mafinga na Jiji la Mwanza Chama dume Chadema unalinganisha na ACT kweli?