Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nan alikwambia kuna
Anaemzd Chris mauki hata
Kwa dawa hawampat Chris
It's the best kwa uchambuz
Huyu jamaa yuko vzr sana
Hao wengne wanaota tu
Ndoto za mchana unamjua Charles William wasafi fm huyu jamaa ni noma namkubali sana
Imeisha hyo mkuuOngeeni wooooote lakin kuna mashine moja makin na hatari sana nchi hii,huyo kila sehem mpka mambo ya dini yupo japo hujaweka kipengele cha dini lakin hyo jamaa ni habari nyingine kwangu mimi namchukulia hakuna kama yeye ktk sekta ya uchambuzi tanzania na east africa au africa nzima mpka ulaya wanamtambua kua ni kiboko yao.... Anaitwa
Dr Ellie VD Waminiani
acha kabsa hao akina mauki na akina ngoma wakajifunze kwanza ndio waje hapa upya