Ongeeni wooooote lakin kuna mashine moja makin na hatari sana nchi hii,huyo kila sehem mpka mambo ya dini yupo japo hujaweka kipengele cha dini lakin hyo jamaa ni habari nyingine kwangu mimi namchukulia hakuna kama yeye ktk sekta ya uchambuzi tanzania na east africa au africa nzima mpka ulaya wanamtambua kua ni kiboko yao.... Anaitwa
Dr Ellie VD Waminiani
acha kabsa hao akina mauki na akina ngoma wakajifunze kwanza ndio waje hapa upya