Hivi kati ya Jose Chamelione na Diamond Platnumz nani ana pesa?

sawa...lakini kutangulia siyo kufika mkuu........
 
kwenye mali mtachemsha jamaa ana ndinga kali zote uzijuazo mpk juzi kaamua kuchukua mercedes old ya miaka ya 70,wrangler,ferrari,jeeprange anamiliki,sa ingine muache kelele kuna wanamuziki wana hela chafu hawaongei na show zao wanapiga kimya kimya.

magari ndiyo utajiri?
 
Iyo record ya 2010 uko tunataka list ya sasa iv

Naomba kukuuliza katika hiyo list mpya Diamond wako / wenu yumo? Hivi kwanini nyie hamjishtukii tu kuwa mnatetea ' ujinga ' na mnajichoresha tu humu? Jamani Diamond wenu kwa Jose Chameleone bado sana na atasubiri mno kwanini hamsikii tu? Halafu ulivyo ' mtupu ' Kichwani Wewe huyo huyo unayejitutumua humu kumsifia Diamond huna ' data ' na unataka Watu wakuletee wakati kuna Member mmoja hapo kakufundisha jinsi ya kufikiri yeye kaja na ushahidi ' kuntu ' kabisa juu ya utajiri wa Jose Chameleone hivyo nilidhani na Wewe sasa ungemjibu kwa data na hadi kuja na hiyo list yako ya sasa lakini kumbe upo humu ' unazoza ' tu kama ' Makuli ' wa Shimoni Kariakoo.
 
Ukishajua kwamba fulani ana pesa kumshinda mwenzake wewe itakusaidia nini? Hii topiki ya kipuuzi kabisa. Usishushe heshma ya JF. Iwe mwanzo na mwisho kuanzisha topiki kama hii. Nadhani umenielewa.
Kwani hao wanaopanga orodha ya matajiri duniani huwa inawasaidia nini?

Kama huna cha kukomenti bora uwe unapita kimya kimya usiwe unapumuliwa kisogoni kama yule mwanamuziki mwenye vimashimo kwenye mashavu
 
Kwani hao wanaopanga orodha ya matajiri duniani huwa inawasaidia nini?

Kama huna cha kukomenti bora uwe unapita kimya kimya usiwe unapumuliwa kisogoni kama yule mwanamuziki mwenye vimashimo kwenye mashavu

Acha kutumia lugha ya matusi. Nakushauri usome tena sheria za JF.
 
Aliwazalo mjinga ndilo litakalo mtokea.
Unawaza mabasha tu. Una reflect mazingira unayoishi...
Pole sana mkuu ipo siku yatakwisha ila usiwe na hasira na watu sasa..

Nafurahi kwamba ' dozi ' yangu sasa inaanza ' kukuingia '.
 
Nafurahi kwamba ' dozi ' yangu sasa inaanza ' kukuingia '.
Uelewa wako ni mdogo ndiyo maana watu wengi wamekushangaa kwa kufikia conclusion kuwa chameleone ana ela zaidi kisa umemsikia kitambo.
Hakuna aliyebisha kuwa chameleone anaweza kuwa na ela zaid ya mond ila tatizo ni reason ya kipuuzi uliyotoa na bado unajiona geneous...
 

Nikisema kuwa Wewe ni ' Mjinga ' na ' JUHA ' na nikiwadharau huwa mnadhani kuwa huwa nakosea. Kwani ungeandika tu kwa Kiswahili usingeeleweka hadi masikini ya Mungu umejitutumua hapo kuandika neno moja la Kiingereza linalomaanisha ' Mwerevu ' na umelikosea vibaya sana. Kweli GENTAMYCINE kiboko yaani nimekuchanganya hadi umelazimika kuandika Kiingereza ili nijue Wewe ni ' Msomi ' na matokeo yake ' neno ' lenyewe la Kiingereza umelikosea vibaya sana. Nilikuambia kuwa ukitaka ' battle ' na humu kwanza hakikisha ' upstairs ' mwako uko vizuri hukusikia na sasa umeshajichoresha na kujidhalilisha. Kumbe huwa sikosei pale ninapo wadharau.
 
Yani ni sawa na kusema pele au backham watakua na pesa nyingi kumzidi Christiano Ronaldo kwa kigezo wameanza kucheza mda mrefu.
Jiandae kwa battle kutoka kwa bwana mkubwa gentamycine
 
Dola million4 ni karibu Tsh 9bn/- ambazo naamini hizo hela hana kabisa.
 
kweli wewe ni kiazi ndiyo maana akili yako inawaza mabasha tu na kubattle.
No wonder you have no point unajisifia sifia tu.
Punguza hasira za kupigwa na maisha kijana fanya kazi najua inakuuma mtoto wa Tandale form two kutoboa wakati wewe ukisubiri kurithi chumba.
Ila hizo hasira zielekeze katika kutafta usiwe na hasira na watu kijana.
 
Show za kimyakimya katika muziki hakuna ndugu hutapata watu, hapa tuzungumzie uhalisia tu nani anazo nani hana basi.
Na vigezo viwekwe sio show za kimya kimya.

kwenye mali mtachemsha jamaa ana ndinga kali zote uzijuazo mpk juzi kaamua kuchukua mercedes old ya miaka ya 70,wrangler,ferrari,jeeprange anamiliki,sa ingine muache kelele kuna wanamuziki wana hela chafu hawaongei na show zao wanapiga kimya kimya.
 
Basi nime conclude kuwa wewe ni mjinga na bahati mbaya hujajua kuwa wewe ni mjinga.
Yani una battle vitu vya kipuuzi hivi sa vitu vya msingi si utajiua kabisa

Samahani Mkuu kabla sijakubali kuwa Mimi ni mjinga kama ulivyosema naomba kujua hilo neno la ' geneous ' uliloliandika hapo umelitoa wapi? Halafu kuna mahala ' ulijigamba ' kuwa umesoma nchini Uganda ila kwa ' upopoma ' wako huu umeshanifanya nisiamini kuwa kweli ulisoma Uganda na umetudhalilisha Watanzania wote tuliosoma nchini Uganda na kuwadhalilisha pia Waganda wenyewe wenye hiyo lugha yao. Nimekudharau kunakotukuka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…