Hivi kati ya Jose Chamelione na Diamond Platnumz nani ana pesa?

Hivi kati ya Jose Chamelione na Diamond Platnumz nani ana pesa?

Yako Wewe ' Kipanga Pori ' ya leo iko wapi? Mtu ' mwerevu ' huwa anapobisha basi huja na ushahidi wa ' kidata ' ili kukipinga kile asichokiamini. Hata hivyo kwa post yako tu hiyo Watu watapima kati yangu na wewe nani ni K.i.l.a.z.a na nani ni Kipanga.
Tokea mwanzo tushajua ww ni kipanga huna hoja za msingi na zenye mashiko bali umejaa chuki na sifa za kijinga
 
Ok hongera kwa kusoma Uganda. Bottom line diamond hamzidi chameleon kwa lolote.umaarufu,pesa,asset hata fans.Uganda mziki wao una identity sio sisi kutwa kuiba Nigerian music.
Mtakufa na kijiba mwaka huuu go go go chibu
 
Muuzaji alimtajia bei kubwa beyond his budget.
Na siyo kila nyumba mtu anaweza kununua kisa iko sinza sometimes labda ile ndiyo aliyoona inakithi mahitaji ya alichotaka kufanya.
Any way sijui anaingiza kiasi gani but atleast ana team ya watu wengi waliomzunguka wanaotegemea kula kupitia yeye na hao waoliomzunguka wanapata vipato vya kukidhi mahitaji yao kuliko watu wengi wenye B.A zao wanaosaka ajira humu kila siku.
Ukiweza kuajiri watu zaidi ya kumi na ukaweza kuwalipa vizuri, wewe siyo mtu wa mchezo mchezo..
hao wanaomzunguka anawalipa peke yake?!

Wakina Raymond,Mavoko na Harmonize ujue wanaingiza hela pia.

Kwa hiyo wewe unaamini kabisa na akili zako timamu kuwa jamaa ana Bilioni 9 shilling kwenye account zake?!
 
Siwaongelei hao naongelea madancers, managers, djs, producer, photographers, bodyguard.
Mkuu haimaanishi ela iliyoko kwenye acc ila inajumuisha investments zake mali anazomiliki na ela aliyonayo kwenye bank.
 
Kwa vitu gani anavyomiliki?!

hiyo nyumba ya Madale na Studio ya wasafi au?!
 
Siwaongelei hao naongelea madancers, managers, djs, producer, photographers, bodyguard.
Mkuu haimaanishi ela iliyoko kwenye acc ila inajumuisha investments zake mali anazomiliki na ela aliyonayo kwenye bank.
Kaka usibishane na uyo punga utachoka bure
 
Hizi hapa baadhi ya Mali za Jose Chameleon
1480364716702.png
1480364731886.png
1480364748375.png
1480364763455.png
1480364776075.png
1480364792216.png
1480364806758.png
1480364820685.png
1480364835015.png
 
Huyo Daniela ni mke wa Chameleon kamjengea mijengo ya adabu sana na Gari aina ya Range nyeusi.

Yeye mwwnyewe anamiliki escalade spinning wills, Benz mbili, Range nyepe na nyekundu na Gari nyingine kibao .Bila kusahau mansions zipatazo tatu.Moja kijihini kwao,moja Entebe na nyingine Kampala.

Sasa huyo ndo wakumfananisha na hawa wasanii wetu .Mnachekesha vijana
 
Mambo mengne muwe mnafanya research ndo mnalopoka hujui kuwa chameleon ashawahi kufanya collable na davido......fikra za kimaskin ndo zinatutafuna wa tz
Ameropoka asiye yajuwaa .,unajuwa aliy kuwa na roho chafu huwa anaropokaa tu bila sababu ,
 
Hakuna cha jose wala kibakuri ao dalasa ; Platnumz ni habari nyengine
 
Huyo Daniela ni mke wa Chameleon kamjengea mijengo ya adabu sana na Gari aina ya Range nyeusi.

Yeye mwwnyewe anamiliki escalade spinning wills, Benz mbili, Range nyepe na nyekundu na Gari nyingine kibao .Bila kusahau mansions zipatazo tatu.Moja kijihini kwao,moja Entebe na nyingine Kampala.

Sasa huyo ndo wakumfananisha na hawa wasanii wetu .Mnachekesha vijana
Kijana wetu anajitahidi, ila kwa chameleon bado kwanza.
 
Diamond ana pesa.
Ila sio ya kumlinganisha na Chameleon.
Wamepishana parefu.
 
Back
Top Bottom