KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
Hizi ndo fact gani sa???Kumbe ww unaangalia nyumba south sasa mwenzako alioa mzungu[emoji12] [emoji12]
Chameleon hana nyumba south, hana mkataba na universal,unaweza kuwa kwenye game kitambo lakini ukazidiwa na mtoto wa juzi
Kausha tu, man. Fujo za hili jukwaa huwa siziwezi.
Tokea mwanzo tushajua ww ni kipanga huna hoja za msingi na zenye mashiko bali umejaa chuki na sifa za kijingaYako Wewe ' Kipanga Pori ' ya leo iko wapi? Mtu ' mwerevu ' huwa anapobisha basi huja na ushahidi wa ' kidata ' ili kukipinga kile asichokiamini. Hata hivyo kwa post yako tu hiyo Watu watapima kati yangu na wewe nani ni K.i.l.a.z.a na nani ni Kipanga.
Mtakufa na kijiba mwaka huuu go go go chibuOk hongera kwa kusoma Uganda. Bottom line diamond hamzidi chameleon kwa lolote.umaarufu,pesa,asset hata fans.Uganda mziki wao una identity sio sisi kutwa kuiba Nigerian music.
hao wanaomzunguka anawalipa peke yake?!Muuzaji alimtajia bei kubwa beyond his budget.
Na siyo kila nyumba mtu anaweza kununua kisa iko sinza sometimes labda ile ndiyo aliyoona inakithi mahitaji ya alichotaka kufanya.
Any way sijui anaingiza kiasi gani but atleast ana team ya watu wengi waliomzunguka wanaotegemea kula kupitia yeye na hao waoliomzunguka wanapata vipato vya kukidhi mahitaji yao kuliko watu wengi wenye B.A zao wanaosaka ajira humu kila siku.
Ukiweza kuajiri watu zaidi ya kumi na ukaweza kuwalipa vizuri, wewe siyo mtu wa mchezo mchezo..
Jamaa ameandika ukweli ..Mtakufa na kijiba mwaka huuu go go go chibu
Umecomment kwa kutumia akili yako kwel wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio kila kitu kinahitaji mlinganisho-ni bora ungeuuliza diamond na Chamelione nani ana do.mo kubwa ungeeleweka!
Siwaongelei hao naongelea madancers, managers, djs, producer, photographers, bodyguard.hao wanaomzunguka anawalipa peke yake?!
Wakina Raymond,Mavoko na Harmonize ujue wanaingiza hela pia.
Kwa hiyo wewe unaamini kabisa na akili zako timamu kuwa jamaa ana Bilioni 9 shilling kwenye account zake?!
Mkuu hio takwimu za Google kama unabishana nao haya.Wallahi billahi umevurugwa
Inaonekana unaukaribu sana na platnumz.Dola million4 ni karibu Tsh 9bn/- ambazo naamini hizo hela hana kabisa.
Kwa vitu gani anavyomiliki?!Siwaongelei hao naongelea madancers, managers, djs, producer, photographers, bodyguard.
Mkuu haimaanishi ela iliyoko kwenye acc ila inajumuisha investments zake mali anazomiliki na ela aliyonayo kwenye bank.
Kaka usibishane na uyo punga utachoka bureSiwaongelei hao naongelea madancers, managers, djs, producer, photographers, bodyguard.
Mkuu haimaanishi ela iliyoko kwenye acc ila inajumuisha investments zake mali anazomiliki na ela aliyonayo kwenye bank.
Bila kusahau kafanya collable na bushoke.Mambo mengne muwe mnafanya research ndo mnalopoka hujui kuwa chameleon ashawahi kufanya collable na davido......fikra za kimaskin ndo zinatutafuna wa tz
Ameropoka asiye yajuwaa .,unajuwa aliy kuwa na roho chafu huwa anaropokaa tu bila sababu ,Mambo mengne muwe mnafanya research ndo mnalopoka hujui kuwa chameleon ashawahi kufanya collable na davido......fikra za kimaskin ndo zinatutafuna wa tz
Kijana wetu anajitahidi, ila kwa chameleon bado kwanza.Huyo Daniela ni mke wa Chameleon kamjengea mijengo ya adabu sana na Gari aina ya Range nyeusi.
Yeye mwwnyewe anamiliki escalade spinning wills, Benz mbili, Range nyepe na nyekundu na Gari nyingine kibao .Bila kusahau mansions zipatazo tatu.Moja kijihini kwao,moja Entebe na nyingine Kampala.
Sasa huyo ndo wakumfananisha na hawa wasanii wetu .Mnachekesha vijana