wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,293
- 3,945
We mbwiga acha wivu wa kikeWe K kweli, czan kama ata iyo South ushawai kufika ama unaiskia kwa mabaharia.
Mavi ww
Mi naona Man Fongo ndo ana maweHivi chameleone na platnumz nani ana pesa kuliko mwengine?
Hio sign ya Dollar ($) sio shillings by the way i smoke crack😱 big dummy😛😀😀What the hell have u been drinking recently???? 4 mil net worth ????
Masanjavp diamond na masanja!?
ni bora ungewauliza wao wangekupa Majibu mazuri zaidiHivi chameleone na platnumz nani ana pesa kuliko mwengine?
Ukishajuwa?? Utaomba uwekeze ununue hisa? Wewe zako hapa hadarani bank statements ni Tzsh ngapi au una za kununua mb tu za kuletea mbwembwe humu??Hivi chameleone na platnumz nani ana pesa kuliko mwengine?
Kwani kuwa na nyumba s. A ndio unapesa? Kua mkataba na universal labda alikataa tunajuajeChameleon hana nyumba south, hana mkataba na universal,unaweza kuwa kwenye game kitambo lakini ukazidiwa na mtoto wa juzi
We Una sh ngapi kwanza.. Tuanzie hapo..Hivi chameleone na platnumz nani ana pesa kuliko mwengine?
Hiyo nyumba ya SA ina thamani gani kwa pesa ya Tanzania?We mshamba ulifikiri kuwa na nyumba south ni sawa kama unavyoishi kwa shemeji!