Hivi kati ya Mwalimu Kashasha na Dkt Leakey nani zaidi katika uchambuzi wa soka?


umeongea vizuri sana
 
Umenifilisi, nilitaka kuchangia lakini nimekuta umeshamaliza kila kitu. Well said!
 
kashasha hakuna anachojua ...Mara et pasi ya moto ndo nn sasa mchambuz bora ni mwl Tigana wa Eatv na East radio
 
umetema madini sana hapa..
 
U nailed it
 
Na Mpira umekwiiisha. Mods tunaomba huu Uzi ufungwe huyu Jamaa kajibu swali la mtoa Uzi Kwa ufasaha kabisa.

Comment yako imejitosheleza Kwa asili Mia Mia kama.ni mchezaji basi we Said Mwamba Kizota
 
Movie imeisha!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kumfananisha Dr Licky na vitu vya kipuuzi. Dk licha ya uchambuzi ni predicts mzur sana. Sifa ya Dr anaweza akakutajia kikosi cha Real betis chote na substitute unafanya mchezo nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Indeeeed umenikumbusha mbali indeeed
 
Salute Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu mimi leaky ni bora zaidi ya kashasha. Kashasha anapenda sifa ndio maana anavuma kama mziki wa bongo fleva. Leaky hachuji ndio maana mpaka leo mnamlinganisha na hao wengine. Binafsi kashasha naona ni msanii tuu hata uchambuzi hawezi.
 
Kwangu mimi leaky ni bora zaidi ya kashasha. Kashasha anapenda sifa ndio maana anavuma kama mziki wa bongo fleva. Leaky hachuji ndio maana mpaka leo mnamlinganisha na hao wengine. Binafsi kashasha naona ni msanii tuu hata uchambuzi hawezi.
Majibu yashapatika, unachofanya ni sawa na kujibu maswali ya ziada kwenye mtihani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyu mhuni katisha...asipoelewa mtu hapa ..Corona ilianzia kichwani kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…