Hivi kati ya nyama ya bata na kuku ipi tamu?

Hivi kati ya nyama ya bata na kuku ipi tamu?

Kuku bata hata ukihangaika naye vipi Nyama yake ni hiiiii!!!!
Nimekaa waungwan nkasema mnisaidie kat ya hao ndeg wawili ni yupi kati yao nyama yake inashikia hatamu kwa utamu???
 
Acheni kututoa kwenye reli tunaskia mengi kwa spidi kubwa.Vipi yuko au
 
Unaleta utani na bata wewe 😂😂😂 kuku ni kiande tu kwa bata😹
 
mwenzenu kamaanisha vingine nyie mmejibu vingine.
Bata akiwa ameandaliwa kwa usafi nyama yake ni tamu sana hasa bata bikini na mauno yake, sasa ukikutana na nyama ya bata ambayo haijaandaliwa vizuri lazima utoke na shombe....nyama ya kuku tulishaizoea bana...
 
Chifu hapo ni sawa kweli? Mbona pana walakini!
 
Bata mtamu sana, afu ana nyama nyingi....kuku hamna kitu mbele ya bata!!!
 
Bata ana nyama nyingi,ila katika swala la yupi mtamu kwa uelewa wangu nahisi inategemea na nani yuko jikoni.

Wazee kuna watu wana mikono jamani acheni.
 
Back
Top Bottom