Hivi kati ya Ottoman empire na Roman empire ipi ilitumia zaidi nguvu na kuua watu wengi per time it ruled?

kwahyo black people enslaved the israelites?? pharaos were black?
ile mifupa ya mafarao kwenye ma pyramids ni ya watu weusi?
i think not.
 
This goes back to the Imperial German East Africa Co. (IGEACO) under Carl Peters .. Carl alikuwa broker hakuwa ametumwa na serikali alikuja atafute makoloni for his country.. Serikali haikuwa imempa assistance at first.. so he needed to play smart putting together deals which will not cost his country when time comes to implement.

Na moja ya vikwazo vikubwa ilikuwa ni resistance na gharama kubwa za vita kwa Ujerumani. Ndio maana aliweka deals na machief kuwaheshimu na kulinda interest zao ikiwemo their rights to access their land and practice their culture.. for Kenya and Zimbabwe The English has money a d was ready to spend.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
kwahyo black people enslaved the israelites?? pharaos were black?
ile mifupa ya mafarao kwenye ma pyramids ni ya watu weusi?
i think not.
Kama nilivyosema Ancient Egypt was one of the biggest empires in the world and it stayed intact as a civilization for over 3milenium.. and that comes with alot.. people coming in wanaona na kuzaa and that changes everything..

In 30generations na muingiliano people will look differently... Imagine from slavery to date USA is hardly 400yes (4generation) and already you can see the changes physically.. of black people na muingiliano unaotengeneza Mulatos akina Maria Obama who will go on to mix with more people to create and entirely different race.

So originally Ancient Egypt was Black Civilization. What happened in 3000years could have led to alot of changes ..I believe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
thread nzuri hii
hapa kuna watu wanasema africa pia tulikua na tawala zetu zenye nguvu hata wanasanyansi waliogundua mambo mbalimbali
je elimu yetu inafundusha mambo haya? au tunaongea tu kwa hisia
historia ya muafrika na afrika kwa ujumla sisi wenyewe tulishakosea sidhani kama kuna a way we can reconstruct it europeans already are ahead of us
 


To your first Qn--- Do religions have to replace culture??. What is a culture??, from the book titled; General studies by Dr, M P Nyerembe on page 39, it runs:-

"Culture can be defined as all that which has been created by man, but excluding all that man has obtained through nature, in other words culture is the totality of the ways of life of people in their struggles to live and develop in a given society". Thus the answer to your Qn is Yes and specifically speaking a religion to replace indigenous culture is Islam.

Let me explain a bit about pre islamic era in Irabia, before Islam a great majority of Arabs would commit all grave immoralities you would imagine today as part of their culture, they would eat human flesh (canibalism), sleep with their mothers, fathers sleep with ther daughters, commiting murder, lying, drunkardness, idol worship (idolatry), killing their daughters, having a daughter was regarded as shameful thing, to mention just a few, however there are number of vices committed by the pre islamic Arabs, studying the Arabs history one would find Arabs at that time were the least uncivilized society in the world, but God had a plan, the least civilized men to produce a most spiritual revered man to cleanse them spiritually and cleanse other people too, by cleansing the spiriatul wretched Arabs and make them be leaders of world in many fields apart from religious, the man was also destined to teach spirituality to the whole world. The man is Prophet Muhammad (saw).

Your Qn no,2---, what is culture of religion?? If Muhammad (saw) did come from Ngoni tribe would Islam be famously Ngoni like???---- the answer is no, take this analogy, prophet Muhammad (saw) hailed from Arabs but Islam has got no Arabs Culture, Islam per se its teachings are principally to be firstly derived from the Holy Qur'an and secondly from the authentic books of Hadith (the recorded sayings of the Holy prophet), if there is any Custom in a culture which complies with the teachings in those two sources then the custom is Islamic and it must be advocated rather than frustrated. Islam is a Culture in itself from God for all humanity.

Your Qn no 3,---what about the ancestors who had not received the prophets messages, are they hellbound ??---- the answer is no, they will never ever be hellbounds, the resson being; God never punish a man to whom no messenger have been sent, He will punish in the hereafter those to whom the mesengers were sent and they fersake them. How then will the ancestors be treated on that day considering they had no messenger to warn and teach them about God and morality??, the answer is God the wise will give them a soecial respite on that day (era) and He will give them some thing like a messenger the same thing like it were here on earth, those who follow him would be paradise bound and those who reject would be hell bound. People of that nature of life (hermit) are to found even today, there are number of tribes in the deepest of Amazon forest who have never experienced the outside world, they are untouched by the outside world, there are people who live on top of ranges of Himalayas mountains who don't know anything about the outside world, no any messenger or a messages of any religions have reached them, when they die the will be treated in the hereafter in the same manner I have mentioned.

Qn no 4, --- the coincidence of the two major religions and the emergency of the two empires, ottoman and the Roman.

First of all Christianity emerged later after Roman empire, Jesus the founder of Christianity was born to see the Roman empire existing before him, read the Bible and you will find one man went to Jesus enquiring him if it was right to pay tax to Ceasers (kaisari the Roman Empiror), Upon replying to the man Jesus told him to show the inscription on Dinar and he asked the man whose picture in the inscription was that???, the man replied it was kaiser's, then Jesus told the man to give Kaiser his due and God His due. All in all the two religions have no relevance whatsoever with emergency of the empires and no evidence can be found that tha prophets Jesus (as) and Muhammad (saw) teachings had connections with the empires.
 
Walikua hawana sababu ya ku expand empire, walikua wanakila kitu na walikua wanaheshimu utu.
Walikua wamefocus kwenye technology, mathematics na vingine kibao.
Au wenda wali expand empire wezi jua. Maana the black egypt tunayoongelea ni 4000 yrs back in time. Can yu imagine. Na historia ya roman empire imeandikwa na mzungu. Sa ulitegemea achafue history yake.
Hata kama egypt once ilikua the greatest kuliko hizo roman empire. Mzungu hawezi kukuandikia hiyo narrative. Hiyo narrative utakuja kui prove mwenyewe kwenye modern african people. Why tysom? Why michael jackson, why mayweather, why etc......... we are the greatest now. Cant yu see the proof
 
sijaelewa unachonibishia hapo ni nini pia sina hakika kama kweli umeielewa mada,
Inamaana kujua roma mambo aliyoyafanya yanathibitishwa na mzungu?
HIstoria siku zote inakuwa na proof nyingi sana za uhakika sijakataa kwamba Egypt ilikuwa ni kubwa na imara ila tunaloliongelea hapa ni zile ambazo zilikuwa zinajitanua kwenda kutawala na kudominant wengine,
wamisri wao wakija katika nchi yako wanapiga wanachukua mali na watumwa wanaondoka baasi, hawana time ya kuanza kushikilia nchi yako iwe yakwao,
Tunaowaongelea hapa niwale ambao walikuwa wanafanya kutaka kuitawala dunia kwa ujumla,
Mfano toka historia ya uliwmengu ianze ni British empire ndio imewahi kuwa empire kubwa kuzidi empire zozote, laini kwa ukubwa huo haiwezi ikaifikia empire ya mrumi au mwarabu(ottoman) kwa empire zenye nguvu zilizoacha matokeo yake hadi leo hii unaweza kuyaona kabisa.
SAsa sijaelewa malengo yako kusema historia iliyoandikwa ni ya uongo
shida mnaenda kuangalia youtube masimulizi mnakuja hapa mnajifanya mko full nondo, huyo mmisri anahistoria kubwa sana imeandikwa katika maandiko mbalimbali hakuna lililofichika hata kidogo,
Ukitaka kujua kuwa Wamisri historia zao zipo anza kufuatilia leo mmasai asili yake inatoka wapi.

kwahiyo ndugu hapa ongelea empire ambazo zilikuwa zikijitanua kutaka kutawala ulimwengu mzima nk
 
Sasa wewe Unatakiwa uikatae hii narrative. Usikubali hii narrative iingie kichwani kwako na kukudominate. Kwa sababu inatakiwa uwe na self defence when it comes to your afrocentric stories. Once unapo appriciate na kuikubali narrative ya mzungu tayari unakua umetekwa mentally. So kitu cha msingi ni kua centered kwanza sisi kama sisi africans bila kujali mzungu kaandika nn kwenye vitabu vyake vya historia.
Njia kuu ya kutoka kwenye modern slavery ni kumkataa kwanza mbabylon na maneno yake na kuishi nae kwa akili at the same time unajenga polepole cha kwako kilichobomolewa miaka 400 iliyopita.

Sababu hata mzungu hakubali kabisa uchafue historia yake. Yuko radhi hata akudanganye historia ili mradi aendelee kua juu.

Wewe unajua wazungu huko ulaya wanaelimishwa kwamba sisi bado tuko kwenye stage ya evolution. Yani akitoka nyani ni ww. Sasa ukiwa hauko makini nakuamini narrative ya mzungu hapo ndo anaku conquer.
 
Usifananishe roman empire na vitu vengine ktk sheria za roman empire yyote yule asiye mroman ni mtumwa nch moja tu ndio ilipona ETHIOPIA au kush empire hawa ndio waliweza kupambana nao lkn misri na ujanja wao wote roman aliitawala misri
 
Moyo wako umejazwa na chuki mbaya kuzidi hata roho mbaya za uswahili
Ndugu ukweli haukimbiwi, lazima ukubaliane na madhaifu yako kwanza ndio uweze kuweka kanuni za kujijenga kimaisha,
Kulazimisha Misri iwe juu zaidi ya Roma ni akili za kipuuzi ambazo hazijawahi kutokea katika ulimwengu huu,

Yaani nyumba inaungua unajifariji haiungui au unapoangalia hayo mapirapidi ndio yanakuonyesha kuwa misri alikuwa mbabe?
Acha akili za kitoto hapa tunaongelea fact ndugu, tunaongelea mambo yanayoonekana,
Roma kamtawala hadi huyo misri sasa ukiwa na elimu ya juu na haikusaidii kuna kuwa na maana gani?

hata nyuzi zako unazoziweka hapa zinaonyesha namna gani uko finyu katika akili zako, maarifa yapo bure hutaki kuyasoma unang'ang'ania mwafrica ndio aligundua umeme haya umejua sasa umekusaidia nini kuiinua Africa?

Inaelezwa ‘Illuminates’ wanaua watu weusi wanaonekana kupata nguvu kama Kobe na Chadwick (Black Panther)

Umeona akili zako zilivyo za kipuuzi na nyuzi kama hizo?
Harafu unakuja kusema hapa misri alikuwa mbabe kuzidi romani wakati huyo mmisri katawaliwa na mroma hadi Yesu anakuja wanajua wameletewa samson mwingine wanamkataa anapoleta fact za amani.

Wizi mpya kwa kutumia 'Visa card' na usumbufu wa benki kurudisha pesa

 
Usifananishe roman empire na vitu vengine ktk sheria za roman empire yyote yule asiye mroman ni mtumwa nch moja tu ndio ilipona ETHIOPIA au kush empire hawa ndio waliweza kupambana nao lkn misri na ujanja wao wote roman aliitawala misri
Hii bado ni narrative iliyoandikwa na mzungu. Mna judge kutokana na narrative ambazo mmesoma kwenye vitabu bila kufanya tafiti kujua ni kweli au ni propaganda.
 
Mkuu mbona umetokwa povu
 
Kama hutaki nitetee watu waafrika nambie tu kwamba hizi mada zako hazitakiwi humu jamii forum nikuelewe. Tuna fight for humanity brother. Otherwise yu are not an african brother
 
Imekuuma mimi kua na mapenzi na waafrika[emoji23]
 
Wazungu wanatutukana sn shenz
 
Kama hutaki nitetee watu waafrika nambie tu kwamba hizi mada zako hazitakiwi humu jamii forum nikuelewe. Tuna fight for humanity brother. Otherwise yu are not an african brother
Sisi ndio tupo wafrica hapa tunaambiana ukweli ndugu, ila tukikutana na wazungu ndio tutajidai nasisi kujitetea
kuwa m,pole tu brother,
humanity nikusema ukweli ili ujirekebishe sio kujidanganya kujifariji
 
Imekuuma mimi kua na mapenzi na waafrika[emoji23]
hivi unajua kuwa mwamerica wa kwanza alikuwa ni mtu mweusi?
hivi unajua kuwa mchina wa kwanza alikuwa ni mtu mweusi?
sasa kama umesoma hizo historia mbona hakuandika mtu mweusi?
kama haujazisoma nenda kazisome maana akili zako mgando
 
Sisi ndio tupo wafrica hapa tunaambiana ukweli ndugu, ila tukikutana na wazungu ndio tutajidai nasisi kujitetea
kuwa m,pole tu brother,
humanity nikusema ukweli ili ujirekebishe sio kujidanganya kujifariji
Sawa. Lakini unajua kua wazungu wanafundisha sisi tuko kwenye stage ya evolution? Yani sisi ni stage ya pili ya nyani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…