Hivi kati ya Ottoman empire na Roman empire ipi ilitumia zaidi nguvu na kuua watu wengi per time it ruled?

Wakuu mbona mnajua sana kuhusu roman empire kuliko empire zilizokua africa. Hii sio effect ya colonial education?. My african brothers wake up.
Nadhani mtoa mada ameuliza kuhusu Roman Empire na sio Africa ... Afrika kipindi hicho kulikua hakuna Empire kubwa na zilizopo hazikua zinahifadhi historia yake kwenye maandishi ( ukiacha ancient Egypt) hivyo basi zilitegemea oral tradition kama ndio sehemu ya kuhifadhi kama unajua oral tradition ina survive vema si zaidi ya miaka 500 ... na nyingi zinaingiza hadithi za kusadikika ( myths) ila wana- historia wanapambana sana ku-reconstruct history of Africa
 
Mali empire ilikuwa the richest nation on earth..wakati wake..na mfalme wake Mansa Mussa alikuwa the richest person on earth..
 
Je wajua egypt empire ilikua ni empire ya watu weusi. Na waarabu unaowaona walikuja miaka ya karibuni.

Na je wajua roman empire hazikua the great kama mnavozisoma kwenye vitabu. Ila kwa sababu narrative inayoendelea ninya mtu mweupe hata historia yake ikafanywa the best lakini in reality black history was the best
 
Yes hata pyramids zilijengwa na watu weusi
Ile famous sphinx ilikuwa na pua Pana wazungu wakaenda kuharibu pua watu weusi wasione zamani ilikuwaje..

Waarabu walikuwa watumwa wa wanubi
Nubians ndo walikuwa watawala wa Egypt
 
Hv nyie mnamjua ghenkhis Khan au mnaongea ongea.. Ana general wake anaitwa subatai.. Just Google him uone vurugu lake
 
Na je wajua roman empire hazikua the great kama mnavozisoma kwenye vitabu. Ila kwa sababu narrative inayoendelea ninya mtu mweupe hata historia yake ikafanywa the best lakini in reality black history was the best

Walikuwa wanakuja Afrika kujifunza technology
Hata hapo Mali wagiriki waliiba.mambo mengi mno wakaenda kupeleka kwao huko Europe
 
Mali empire ilikuwa the richest nation on earth..wakati wake..na mfalme wake Mansa Mussa alikuwa the richest person on earth..
😂 sawa uko sahihi kabisa ila unajua kua Mali Empire ime-exist kwasababu gani ... outside influence especially Trade with Arabs ndio zimefanya hawajamaa wa rise na Mansa Kankan Mussa alikua muislam sasa hapa inakuja ile dhana ya kwamba very few African States zili-rise independent from outside influences...na pia naomba nikupinge kwamba ilikua the richest state on Earth si kweli
 
Walikuwa wanakuja Afrika kujifunza technology
Hata hapo Mali wagiriki waliiba.mambo mengi mno wakaenda kupeleka kwao huko Europe
Mkuu the Boss hizo ni story za maskani achana nazo hakuna kitu kama hicho
 
[emoji23] sawa uko sahihi kabisa ila unajua kua Mali Empire ime-exist kwasababu gani ... outside influence especially Trade with Arabs ndio zimefanya hawajamaa wa rise na Mansa Kankan Mussa alikua muislam sasa hapa inakuja ile dhana ya kwamba very few African States zili-rise independent from outside influences...na pia naomba nikupinge kwamba ilikua the richest state on Earth si kweli
You look down on african brother. Lakinj kama african ndo wame originate kila kitu
 
Hakuna mahali nimesema hivyo ... ukweli utabaki kua ukweli uupende au usiupende haijalishi ... Afrika ilikua favoured na mazingira sana na population haikua kubwa hivyo basi complex political structures zilikua hazina matumizi sio kwa walikua hawawezi kuzi-form, HAPANA bali hazikuhitajika middle East na Ulaya pia far East ... limited resources ziliwafanya wa evolve haraka kwenye complex socio-political structures... Simaanishi kwamba Afrika hazikuwepo zilikuwepo lakini chache in very few areas particularly on North and Western parts of Africa...
 
Relevant in this analogy; Europeans , according to you, brought the religions to which we are adhered, like Computers, hand sets, Cars etc, all made by the same Europeans so to say, we African have not yet made any thing useful, what we know is Whitchcrafts etc.
One can argue.. we have been conditioned to believe that we made nothing of significance.. but the truth is quite the opposite..

One place I believe we are still being used is in the area of Religion... Indians keeps their own religion, English have The Anglican, Italy keeps their Catholicism, Arabs are proud of islam, Chinese got Confucious.. Russians they have Russian Orthodox, the Greeks have their own Orthodox, even Muslims have varieties popular in different places..

My biggest question is... Why! If we all believe in Allah and the Holy Quran why should there be differences!? If we Believe in one God and the Bible why all these differences!!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
You are true african brother
 
😂 sawa uko sahihi kabisa ila unajua kua Mali Empire ime-exist kwasababu gani ... outside influence especially Trade with Arabs ndio zimefanya hawajamaa wa rise na Mansa Kankan Mussa alikua muislam sasa hapa inakuja ile dhana ya kwamba very few African States zili-rise independent from outside influences...na pia naomba nikupinge kwamba ilikua the richest state on Earth si kweli

Kuna mdau kasema wale Egyptian walikuwa watu weusi.. Nubians..
Je walikuwa hawana technology yoyote ya kuwafanya watu wa ulaya waje kujifunza?
 
Back
Top Bottom