Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 4,062
- 5,741
Nchi moja hivi ndogo inaitwa Austria iko karibu na ujerumaniHapsburg Leo ndo wapi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi moja hivi ndogo inaitwa Austria iko karibu na ujerumaniHapsburg Leo ndo wapi??
Nadhani mtoa mada ameuliza kuhusu Roman Empire na sio Africa ... Afrika kipindi hicho kulikua hakuna Empire kubwa na zilizopo hazikua zinahifadhi historia yake kwenye maandishi ( ukiacha ancient Egypt) hivyo basi zilitegemea oral tradition kama ndio sehemu ya kuhifadhi kama unajua oral tradition ina survive vema si zaidi ya miaka 500 ... na nyingi zinaingiza hadithi za kusadikika ( myths) ila wana- historia wanapambana sana ku-reconstruct history of AfricaWakuu mbona mnajua sana kuhusu roman empire kuliko empire zilizokua africa. Hii sio effect ya colonial education?. My african brothers wake up.
Nadhani mtoa mada ameuliza kuhusu Roman Empire na sio Africa ... Afrika kipindi hicho kulikua hakuna Empire kubwa na zilizopo hazikua zinahifadhi historia yake kwenye maandishi ( ukiacha ancient Egypt) hivyo basi zilitegemea oral tradition kama ndio sehemu ya kuhifadhi kama unajua oral tradition ina survive vema si zaidi ya miaka 500 ... na nyingi zinaingiza hadithi za kusadikika ( myths) ila wana- historia wanapambana sana ku-reconstruct history of Africa
Mali empire ilikuwa the richest nation on earth..wakati wake..na mfalme wake Mansa Mussa alikuwa the richest person on earth..
Na je wajua roman empire hazikua the great kama mnavozisoma kwenye vitabu. Ila kwa sababu narrative inayoendelea ninya mtu mweupe hata historia yake ikafanywa the best lakini in reality black history was the bestNadhani mtoa mada ameuliza kuhusu Roman Empire na sio Africa ... Afrika kipindi hicho kulikua hakuna Empire kubwa na zilizopo hazikua zinahifadhi historia yake kwenye maandishi ( ukiacha ancient Egypt) hivyo basi zilitegemea oral tradition kama ndio sehemu ya kuhifadhi kama unajua oral tradition ina survive vema si zaidi ya miaka 500 ... na nyingi zinaingiza hadithi za kusadikika ( myths) ila wana- historia wanapambana sana ku-reconstruct history of Africa
Je wajua egypt empire ilikua ni empire ya watu weusi. Na waarabu unaowaona walikuja miaka ya karibuni.
Na je wajua roman empire hazikua the great kama mnavozisoma kwenye vitabu. Ila kwa sababu narrative inayoendelea ninya mtu mweupe hata historia yake ikafanywa the best lakini in reality black history was the best
😂 sawa uko sahihi kabisa ila unajua kua Mali Empire ime-exist kwasababu gani ... outside influence especially Trade with Arabs ndio zimefanya hawajamaa wa rise na Mansa Kankan Mussa alikua muislam sasa hapa inakuja ile dhana ya kwamba very few African States zili-rise independent from outside influences...na pia naomba nikupinge kwamba ilikua the richest state on Earth si kweliMali empire ilikuwa the richest nation on earth..wakati wake..na mfalme wake Mansa Mussa alikuwa the richest person on earth..
Mkuu the Boss hizo ni story za maskani achana nazo hakuna kitu kama hichoWalikuwa wanakuja Afrika kujifunza technology
Hata hapo Mali wagiriki waliiba.mambo mengi mno wakaenda kupeleka kwao huko Europe
Sawa Walter Rodney nimekuelewa.Na je wajua roman empire hazikua the great kama mnavozisoma kwenye vitabu. Ila kwa sababu narrative inayoendelea ninya mtu mweupe hata historia yake ikafanywa the best lakini in reality black history was the best
You look down on african brother. Lakinj kama african ndo wame originate kila kitu[emoji23] sawa uko sahihi kabisa ila unajua kua Mali Empire ime-exist kwasababu gani ... outside influence especially Trade with Arabs ndio zimefanya hawajamaa wa rise na Mansa Kankan Mussa alikua muislam sasa hapa inakuja ile dhana ya kwamba very few African States zili-rise independent from outside influences...na pia naomba nikupinge kwamba ilikua the richest state on Earth si kweli
Mnafurahi na kusherekea historia nzuri ya mwafrika mwenzako ikipondwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Unajidharau[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwasababu ni Roman empire ndio waliomuuwa mjumbe wa Mungu Isa aka Yesu aka Jesus aka Iso aka Joshua aka Kristo aka Yasu..aka ....kwanini mkuu
Hakuna mahali nimesema hivyo ... ukweli utabaki kua ukweli uupende au usiupende haijalishi ... Afrika ilikua favoured na mazingira sana na population haikua kubwa hivyo basi complex political structures zilikua hazina matumizi sio kwa walikua hawawezi kuzi-form, HAPANA bali hazikuhitajika middle East na Ulaya pia far East ... limited resources ziliwafanya wa evolve haraka kwenye complex socio-political structures... Simaanishi kwamba Afrika hazikuwepo zilikuwepo lakini chache in very few areas particularly on North and Western parts of Africa...You look down on african brother. Lakinj kama african ndo wame originate kila kitu
One can argue.. we have been conditioned to believe that we made nothing of significance.. but the truth is quite the opposite..Relevant in this analogy; Europeans , according to you, brought the religions to which we are adhered, like Computers, hand sets, Cars etc, all made by the same Europeans so to say, we African have not yet made any thing useful, what we know is Whitchcrafts etc.
You are true african brotherOne can argue.. we have been conditioned to believe that we made nothing of significance.. but the truth is quite the opposite..
One place I believe we are still being used is in the area of Religion... Indians keeps their own religion, English have The Anglican, Italy keeps their Catholicism, Arabs are proud of islam, Chinese got Confucious.. Russians they have Russian Orthodox, the Greeks have their own Orthodox, even Muslims have varieties popular in different places..
My biggest question is... Why! If we all believe in Allah and the Holy Quran why should there be differences!? If we Believe in one God and the Bible why all these differences!!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu the Boss hizo ni story za maskani achana nazo hakuna kitu kama hicho
😂 sawa uko sahihi kabisa ila unajua kua Mali Empire ime-exist kwasababu gani ... outside influence especially Trade with Arabs ndio zimefanya hawajamaa wa rise na Mansa Kankan Mussa alikua muislam sasa hapa inakuja ile dhana ya kwamba very few African States zili-rise independent from outside influences...na pia naomba nikupinge kwamba ilikua the richest state on Earth si kweli