Hili sikubishi ni kwel mm nilisoma kwenye vitabu tena misri ilitawalia na roman enzi za malkia cleopatra na kuolewa na mfalme wa roman hv mosr wakapigwa jek kirahis kabisa na wote walioresist walipotezwa na jesh la romanHii bado ni narrative iliyoandikwa na mzungu. Mna judge kutokana na narrative ambazo mmesoma kwenye vitabu bila kufanya tafiti kujua ni kweli au ni propaganda.
Niambie ni kweli au uongo? Na je elimu ni ya kweli kwa upeo wako. Tell miSawa. Lakini unajua kua wazungu wanafundisha sisi tuko kwenye stage ya evolution? Yani sisi ni stage ya pili ya nyani?
Farao. Musa pia watu weusi Musa nasikia alikuwa mweusi kabisa ila Falao alikuwa mwafrika ila maji ya kundehivi unajua kuwa mwamerica wa kwanza alikuwa ni mtu mweusi?
hivi unajua kuwa mchina wa kwanza alikuwa ni mtu mweusi?
sasa kama umesoma hizo historia mbona hakuandika mtu mweusi?
kama haujazisoma nenda kazisome maana akili zako mgando
onyesha hayo masomo hapa tuone,Sawa. Lakini unajua kua wazungu wanafundisha sisi tuko kwenye stage ya evolution? Yani sisi ni stage ya pili ya nyani?
Yaaani ni hivi ukoo wa Daudi mzima toka kwa abraham kule hadi unafika kwa akina Yesu walikuwa ni weusi, sasa yapo katika historia na uthibitisho,Farao. Musa pia watu weusi Musa nasikia alikuwa mweusi kabisa ila Falao alikuwa mwafrika ila maji ya kunde
Hili sikubishi ni kwel mm nilisoma kwenye vitabu tena misri ilitawalia na roman enzi za malkia cleopatra na kuolewa na mfalme wa roman hv mosr wakapigwa jek kirahis kabisa na wote walioresist walipotezwa na jesh la roman
Sasa uniambie ww ulitaka historia tujifunze wap ? Au tuache kabisa kusoma vitabu kisa kaandika mzungu lkn ukumbuke kwamba ni mzungu uyo uyo ndio aliekuwezesha
Keep on spoil your history while babylon keeps on decorating his storyYaaani ni hivi ukoo wa Daudi mzima toka kwa abraham kule hadi unafika kwa akina Yesu walikuwa ni weusi, sasa yapo katika historia na uthibitisho,
sasa inatusaidia nini kujiweka juu sisi wafrica tumeisha jua tayar
Mawazo ya mkoloni yanaishi kwenye kichwa chako.Yaaani ni hivi ukoo wa Daudi mzima toka kwa abraham kule hadi unafika kwa akina Yesu walikuwa ni weusi, sasa yapo katika historia na uthibitisho,
sasa inatusaidia nini kujiweka juu sisi wafrica tumeisha jua tayar
ingekuwa hivo waisrael mpaka leo wangekuwa weusi...au unataka kusema walikuwaga weusi ila gene mutation ilitokea wakawa weupe?Yaaani ni hivi ukoo wa Daudi mzima toka kwa abraham kule hadi unafika kwa akina Yesu walikuwa ni weusi, sasa yapo katika historia na uthibitisho,
sasa inatusaidia nini kujiweka juu sisi wafrica tumeisha jua tayar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Haya bana. Duuh. Hatariingekuwa hivo waisrael mpaka leo wangekuwa weusi...au unataka kusema walikuwaga weusi ila gene mutation ilitokea wakawa weupe?
"The shadow of rome is vast ....."-Legatus Cladius GlabberHapana ilichukua nchi nyingi sana za ulaya kuanzia England [emoji1022],Austria, France [emoji632],Italy, some parts of now days German na nchi nyingi za norhern Africa kwa kifupi karibu ulaya nzima ilikua The Great Roman Empire
Ili tuwe juu inabid kuanza kuwandaa watu kisaikolojia na ndio mada km hz imabid zipewe nguvu maana mzungu ni mjanja saiklojically na technically kote kote katupiga na filamu katunga manabii wote wazungu ili kututisha sisi watu weus tumuone yy ndie yy sasa itakuwa poa zaid km tukianza na hii saikolojia watu wanaamin mzungu ni mtu km sisi na yote anayoyafanya siai pia tunaweza kufanya baada ya apo tujikite kwenye elimu ya vitendo na sio kujaza ubao hii itapelekea watu kuwa na ufahamu juu ya kutengeneza vituYaaani ni hivi ukoo wa Daudi mzima toka kwa abraham kule hadi unafika kwa akina Yesu walikuwa ni weusi, sasa yapo katika historia na uthibitisho,
sasa inatusaidia nini kujiweka juu sisi wafrica tumeisha jua tayar
Egypt ni moja ya kingdom za mwanzo kabisa ,walikua wamejitanua mpaka syria,caanan yote ilikuwa ni majimbo ya misri,,nguvu za misri zilikuja kuvunjwa na Asyrian empire baada ya asyria kuteka caanan,aram ,jerusalem yote walishuka wakapigana na misri mpaka misri ikadhoofika kabisa,Walikua hawana sababu ya ku expand empire, walikua wanakila kitu na walikua wanaheshimu utu.
Walikua wamefocus kwenye technology, mathematics na vingine kibao.
Au wenda wali expand empire wezi jua. Maana the black egypt tunayoongelea ni 4000 yrs back in time. Can yu imagine. Na historia ya roman empire imeandikwa na mzungu. Sa ulitegemea achafue history yake.
Hata kama egypt once ilikua the greatest kuliko hizo roman empire. Mzungu hawezi kukuandikia hiyo narrative. Hiyo narrative utakuja kui prove mwenyewe kwenye modern african people. Why tysom? Why michael jackson, why mayweather, why etc......... we are the greatest now. Cant yu see the proof
Hizi zote ni hadithi ambazo hakuna mtu ana uhakika nazo.Egypt ni moja ya kingdom za mwanzo kabisa ,walikua wamejitanua mpaka syria,caanan yote ilikuwa ni majimbo ya misri,,nguvu za misri zilikuja kuvunjwa na Asyrian empire baada ya asyria kuteka caanan,aram ,jerusalem yote walishuka wakapigana na misri mpaka misri ikadhoofika kabisa,
Lakini tena kabla ya hapo misri ilivamawa na wacush kutoka Sudan /ethiopia,,hawa walieneza utawala wao mpaka caanan kabla hawajawa pushed back na kusettle misri,hawa ndo walianzisha utawala wa 29th dynasty ya misri ambayo watawala wake waliitwa farao,,ndo maana unasikia watu wanadai wakazi wa mwanzo misri ni black,,siyo kweli bali wacush walivamia misri na kutawala karibu miaka 1000.
Lakini misri ni oldest society iliyokuwepo hata kipindi cha falme za Sumerian,Hurian,Akaddian, enzi za mfalme Hammurabi,
All in all the two religions have no relevance whatsoever with emergency of the empires and no evidence can be found that tha prophets Jesus (as) and Muhammad (saw) teachings had connections with the empires.
Umejibu kishabiki sana...tukijibu kwa fact ni kwamba divisions in islam zilianza baada ya mtume kufa watu wakaanza kupigania power ya utawala wengine wakiangalia undungu wengine urafiki na muhamad..so divisions are caused by the fight for power to rule na kumbuka kulikuwa na makabila mengi ya waarabu waliotaka hiyo power ya kutawala watu..ndo source ya division9---- Why then there are divisions (in Islam)??. ... peaceful course of Islam, which sect in Islam has an Imam (the world wide leader) etc--- there is no such sect except Ahmadiyya, the highest growing sect of all sects of all religions of the world.
It is the sect which is going to unite the whole of mankind in the fold of Islam.
You are most welcome.
Mkuu kuna empire nyingi,umesahau Muawwia,Abassid,Rashidun ,Etc,,hawa Turkey ni late comers sana yaaniActually Holy Roman empire ilikuwa influenced na christianity...baada ya emperor constatine kuconvert kuwa mkristo aliigeuza empire kuwa ya kikristo..so emergence ya holy roman empire ina christian roots although emergence ya christianity haikuwa influenced na roman empire
Upande wa pili hata kipindi muhamad yuko hai alikuwa ameshaconquer Mecca na Arabian peninsula karibia yote na alikuwa anaexpand territorry so empire na religion vilienda hand to hand even after muhamads death he was succesed by kalifs(leader of the umma)ambao waliiexpand territory..These were religious leaders who were tied exactly to islamic teachings...waliexpand teritorry from arabia all the way to spain,Ukrain,Tunisia etc. etc. Miaka mingi baadae baada ya kuconquer mpaka uturuki Ottoman empire ilikuja kuwa leader of Islamic empire ie. the islamic states na baada ya kuangushwa na british empire yule jamaa Ataturk (raisi wa kwanza wa uturuki)alipoiangusha otoman empire via revolution ndo akaebolish utawala wa makalifa akaleta democracy uturuki
so ingekuwa 'god's plan' kuunganisha dunia under 1 religion then asingeruhusu ottoman empire ianguke kwasababu mpaka leo muslims wako divided na nchi mbali mbali za kiislam ziko divided..only under ottoman empire were they truly united
Umejibu kishabiki sana...tukijibu kwa fact ni kwamba divisions in islam zilianza baada ya mtume kufa watu wakaanza kupigania power ya utawala wengine wakiangalia undungu wengine urafiki na muhamad..so divisions are caused by the fight for power to rule na kumbuka kulikuwa na makabila mengi ya waarabu waliotaka hiyo power ya kutawala watu..ndo source ya division
pili,Sababu ya kusema ahmadiya ndo sect ni tatu ambazo ni>> peacefulness,imam,growth rate
sasa wapi kwenye quran au hadith imenasibisha kuwa hizo ndo trait za true sect? FYI ahmadiya are considered kafirs by majority of muslims and are not the most growing sect..it is the sunnis..Also imam hata wasunni wanae
Kuwa peaceful sawa lakini haimaanishi ndiyo true islam iliyoletwa na mtume ambaye aliua watu wengi walioukataa uislam
Further studies
The Arab conquests started as sporadic tribal raids. A proper army was probably not organized before 634 , but once formed, it made expeditions eastwards towards the Sasanian empire and northwards to Palestine and Syria against the Byzantine empire.
The surprising speed at which the conquests took place can be attributed to the weakness of countries debilitated by long external conflicts (the Sasanian empire) or by the fragility of internal structure (Spain). There was also discontent with despotic leadership and heavy taxation among the local population, especially in Syria and Spain.
Army and Society
The expanding Muslim army was at first only composed of Arab tribal groups, mostly infantry and some cavalry forces. Gradually it transformed itself by recruiting locally during its campaigns. The role played by the mawali (‘converted non-Arab clients’), such as Berber warriors in the western campaign to Spain and, eastwards, Persians and Turks, is well-known.. From the eleventh century onwards the horse-back archery techniques of Central Asian and Turkish origin began to play a major role in Muslim warfare.
Muslim commanders left the social structure of the conquered territories almost intact by appointing local Muslim governors and relying on local administrative and financial systems.
The populations were not converted en masse but in time the frequency of conversions increased. The reasons for embracing Islam ranged from a desire to come closer to the new masters and share their privileges, to an acknowledgment of, or belief in, the tolerant and syncretistic nature of the new faith. Tolerance, however, could only be granted to the Ahl al Kitab (‘the people of the Book’) that is, those people whom the Qur'an cites as having received revealed scripture: Jews, Christians and the ‘Sabians’. These could not, in principle, be forcibly converted (as could polytheists and disbelievers), and were guaranteed protection and religious autonomy against the payment of a special tax.
haya yanawezekana lakini the way forward is not to change history but to change the present.Ili tuwe juu inabid kuanza kuwandaa watu kisaikolojia na ndio mada km hz imabid zipewe nguvu maana mzungu ni mjanja saiklojically na technically kote kote katupiga na filamu katunga manabii wote wazungu ili kututisha sisi watu weus tumuone yy ndie yy sasa itakuwa poa zaid km tukianza na hii saikolojia watu wanaamin mzungu ni mtu km sisi na yote anayoyafanya siai pia tunaweza kufanya baada ya apo tujikite kwenye elimu ya vitendo na sio kujaza ubao hii itapelekea watu kuwa na ufahamu juu ya kutengeneza vitu
Hainiingii akilin mtoto anaenda darasan anafundishwa extraction of oxygen ktk maandish tu hajui natural resource atapata wapi ivo tukifundisha kwa vitengo mtoto anajua kumbe nikitaka tengeneza oxygen inabid nifanye hv nifanye vile nichanganye hiki kisha kile
Kisha elimu ifumuliwe watu wasome basic na vile vitu specific tu wanavyotaka kujua
Hii itapelekea kuwa na viwanda vingi maana product nying zitatengenezwa hapa mtu ukitaka piv iron unaagiza tu oxygen unagiza tu hii itasababisha kuanzishwa kwa heavy industrial sababu product nying zipo mwisho tunajikuta tunajenga ndege zetu wenyewe na mzungu hana chake
Sure ...Sema hawa ottoman ndo walifika kwenye peak yani kama ufike kwenye sherehe muda wa msosi...ila kuna watu walipika na kupakua hao kina Rashidun nk.Mkuu kuna empire nyingi,umesahau Muawwia,Abassid,Rashidun ,Etc,,hawa Turkey ni late comers sana yaani