Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Nataka kuokoka ila bado nipo njia panda kila nikisoma biblia nakosa majibu sasa wajuvi wa mambo nauliza hivi kati ya Yesu na Mungu aliyetajwa kwenye biblia la agano la kale ni wote wako sawa?
Kwa maana kuna watu au madhehebu tofauti kuna wengine wanaamini Yesu ni Mungu na kuna wengine wanasema Yesu sio Mungu which is which
Je hivi inawezekanaje Huo Mungu wanaoamini bwana yesu apigwe msalabani na wanadamu na inawEzekanaje huo huyo huyo Mungu akasalitiwa na mwanadamu aliyemuumba?
Napata wasiwasi kabisa ila naona Quran tukufu imenyooka sana, haina kona kona
Je Brian decon ndiyo Yesu? Naona nikiangalia picha ya kwenye cinema ya Yesu ndiyo huyo huyo ninaemuona makanisani nazidi kuchanganyikiwa
Nb;
Lengo la kuuliza ni kuacha uatheist na kuingia kwenye ukristo ndiyo maana nauliza swali