kheeee hiyo picha inatisha sana kuiangalia duuu kumbe sisi binadamu kwa ndani tuko hivyo
Mi siko hivyo!!!kheeee hiyo picha inatisha sana kuiangalia duuu kumbe sisi binadamu kwa ndani tuko hivyo
Huyo atakuwa ni mwanaume, kwa nyie wakina dada mnapendeza sana kwa ndanikheeee hiyo picha inatisha sana kuiangalia duuu kumbe sisi binadamu kwa ndani tuko hivyo
usishangae ukadhani ni shida,Umenikumbusha jambo ambalo nami lilipata kunishangaza, nilikwenda hospital, nikawekwa dawa kwenye jicho, baada ya dakika kadhaa nikasikia ladha chungu sana mdomoni
Ni kweli mkuuWakuu poleni na kazi!!
Katika mfumo wa fahamu hivi kwenye sikio kuna njia yeyote inayopita hadi kwenye koo!!nauliza hivi kama kuna madoctor humu naomba kujuzwa kwa sababu mi jana sikio langu lilikuwa linauma nikanunua dawa ile ya tube!wakati nimeweka tone moja sikioni baada ya dakika 2 ile dawa nikaisikia hapa kooni kama kohozi fulani!!hivi wakuu ndo mfumo ulivyo au ni mimi tuu!! View attachment 399958
Na nimejaribu kucheki hapa nikashindwa maana mi si mtaalam wa haya mambo naomba kama kuna doctary humu anijuze!!
Mkuu asante kwa kunifungua macho maana nilishtuka sana maana niliweka dawa kwenye sikio nikaisikia hadi kooni kama nimeinywa vile!!Ni kweli mkuu
Kwa kifupi tu, sikio lako limegawanyika sehemu tatu, outer ear, middle ear na inner ear
Hii sehemu ya inner ear imeunganisha na koo lako kupitia eustachian tube.
Tube hii husaidia kusawazisha pressure ndani ya sikio lako
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Umenikumbusha jambo ambalo nami lilipata kunishangaza, nilikwenda hospital, nikawekwa dawa kwenye jicho, baada ya dakika kadhaa nikasikia ladha chungu sana mdomoni
Hiyo nafikiri itakuwa ciproflaxcian ya jichoUmenikumbusha jambo ambalo nami lilipata kunishangaza, nilikwenda hospital, nikawekwa dawa kwenye jicho, baada ya dakika kadhaa nikasikia ladha chungu sana mdomoni
usishangae ukadhani ni shida,
issue ni kwamba dawa ya macho(ya maji) inapowekwa huingia kwenye mfereji wa machozi(nasoracrimal duct) ambao huipeleka mpaka puani.
Au hujawahi kuona unapolia kamasi nyepesi zinatoka? Ile huwa ni machozi yaliyopitia kwenye huo mfereji hivyo baadhi huingia kooni na nyingine hutokea puani