wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Wakuu poleni na kazi!!
Katika mfumo wa fahamu hivi kwenye sikio kuna njia yeyote inayopita hadi kwenye koo!!nauliza hivi kama kuna madoctor humu naomba kujuzwa kwa sababu mi jana sikio langu lilikuwa linauma nikanunua dawa ile ya tube!wakati nimeweka tone moja sikioni baada ya dakika 2 ile dawa nikaisikia hapa kooni kama kohozi fulani!!hivi wakuu ndo mfumo ulivyo au ni mimi tuu!!
Na nimejaribu kucheki hapa nikashindwa maana mi si mtaalam wa haya mambo naomba kama kuna doctary humu anijuze!!