Hiyo nafikiri itakuwa ciproflaxcian ya jicho
usishangae ukadhani ni shida,
issue ni kwamba dawa ya macho(ya maji) inapowekwa huingia kwenye mfereji wa machozi(nasoracrimal duct) ambao huipeleka mpaka puani.
Au hujawahi kuona unapolia kamasi nyepesi zinatoka? Ile huwa ni machozi yaliyopitia kwenye huo mfereji hivyo baadhi huingia kooni na nyingine hutokea puani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo ni ya kiume, ninyi wanawake hamko hivyo.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] .....sometimes kusoma masomo ya sayansi tukaelewa ni muhimu..... Ulisoma arts nini mkuu?Mkuu asante kwa kunifungua macho maana nilishtuka sana maana niliweka dawa kwenye sikio nikaisikia hadi kooni kama nimeinywa vile!!
Ya kwao wanakuwa warembo kidogooHiyo ni ya kiume, ninyi wanawake hamko hivyo.