Hivi katika mfumo wa fahamu kuna njia kwenye sikio hadi kooni?

Hivi katika mfumo wa fahamu kuna njia kwenye sikio hadi kooni?

usishangae ukadhani ni shida,
issue ni kwamba dawa ya macho(ya maji) inapowekwa huingia kwenye mfereji wa machozi(nasoracrimal duct) ambao huipeleka mpaka puani.
Au hujawahi kuona unapolia kamasi nyepesi zinatoka? Ile huwa ni machozi yaliyopitia kwenye huo mfereji hivyo baadhi huingia kooni na nyingine hutokea puani


Thanks
 
Njian ya kutoka kwenye sikio hadi kwenye kooni inaitwa eustachian tube...uc shangae ni mfumo uliopo kwa kila binadamu
 
Mkuu asante kwa kunifungua macho maana nilishtuka sana maana niliweka dawa kwenye sikio nikaisikia hadi kooni kama nimeinywa vile!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] .....sometimes kusoma masomo ya sayansi tukaelewa ni muhimu..... Ulisoma arts nini mkuu?
 
Back
Top Bottom