Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
habari wakuu mimi n kijana wa miaka 22 kwa sasa ,nmefanya sex nikiwa na miaka 21 kwa mara ya kwanza but hyo siku nilisex kwa dk kama 5 hiv then uume ukasinyaa sasa nashindwa kuelewa ni nin hii and ckuendelea baada ya apo ...msaada wenu wakuu coz nakua nahamu but uume umelalla sasa dawa yake nin??
Memory Card ilikuwa Overloaded ika- Crash huenda hutasimamisha tena, pole sana waambie vijana wenzako wasijishughulishe na mapenzi hasa yakujifanya kumkomoa Mwanamke tena aliyekuzidi umri, ita crash memory card.