Hivi kauli za Nape Nnauye na hii slogan ya NO REFORM NO ELECTION, ipi mbaya zaidi?

Hivi kauli za Nape Nnauye na hii slogan ya NO REFORM NO ELECTION, ipi mbaya zaidi?

kahembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
317
Reaction score
400
Katika nyakati tofauti Nape Nauya amelishawai kutoa kauli zenye utata kwenye Taifa letu lakini hakuna hatua yoyote yenye uzito alichukuliwa.

Mfano tutashinda Kwa goli la Mkondo( 2015) Pia mwaka(2024) akiwa Manispaa ya BUKOBA maeneo ya Kashai alitoa Siri za ushindi wa chama Chao namna kina vyo shinda lakini hayo yote hakuna hatua za maana zilichukuliwa dhidi yake zaidi ya kutolewa kwenye uwaziri tu.

Swali langu hayo mambo yangekuwa yanafanywa na Vyama vya upinzani Si wangesema huo ni uhaini?

Tutendeni haki hii nchi ni ya watu wote. Hakuna aliye Bora kuliko wengine... Yote tupo sawa tunahitaji kuishi bila kubaguana Kwa misingi ya vyama vyetu.
 
Back
Top Bottom