Kwani Wakati mwingine KAWAMBWA atumie tu ustaarabu aachie kiti. Huenda rais anamuonea aibu kumtimua. Kawambwa wewe ni mtu mzima kwanini usione aibu kwa kushindwa kutatua kero za elimu ukawaachia wengine? Mbona Mzee Lowassa hakusubiria rais amtimue? Mbona kaghasheki alichukua chake mapema kabla hajafukuzwa? What is special to you? After all wewe ni msomi mzuri tu mwambie jamaa yako akupeleke pale SIDO ukawe mkurugenzi kwenye vyuma sio kwa elimu hii rasmi jamani! Huna wa kukushauri kaka yangu?