Hivi kawambwa anangoja nini?

Hivi kawambwa anangoja nini?

NJALI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
1,534
Reaction score
1,090
Kwani Wakati mwingine KAWAMBWA atumie tu ustaarabu aachie kiti. Huenda rais anamuonea aibu kumtimua. Kawambwa wewe ni mtu mzima kwanini usione aibu kwa kushindwa kutatua kero za elimu ukawaachia wengine? Mbona Mzee Lowassa hakusubiria rais amtimue? Mbona kaghasheki alichukua chake mapema kabla hajafukuzwa? What is special to you? After all wewe ni msomi mzuri tu mwambie jamaa yako akupeleke pale SIDO ukawe mkurugenzi kwenye vyuma sio kwa elimu hii rasmi jamani! Huna wa kukushauri kaka yangu?
 
Du!!!!!! Kamanda sasa naona umeamua kufunguka kiukweli, Huyu no Home boy mwache amalizie tu 2015 sio mbali mbona,
 
Back
Top Bottom