Kwa kifupi tu; kazi kuu mbili za korodani ni kutengeneza mbegu za kiume (sperms) na homoni aina ya testerone.Kuna korodani mbili ambazo zimefunikwa kwa scrotal sac yaani ile ngozi unayoiona nje.
Manii ni mchanganyiko wa vitu vingi; mucus (kamasi), alkali, mbegu za kiume nk
Prostate glands (tezi dume) zipo ndani ya scrotal sac (pumbu) juu ya korodani.Kazi kubwa ya tezi dume ni kutengeneza kamasi (uji uji mzito wa manii) na alkali.
Alkali iliyomo ndani ya manii husaidia ku-neutralise hali ya kitindikali (acidity) iliyomo ndani ya uke.Hii husaidia mbegu za kiume (sperms) kuweza kuishi.
Maelezo mazuri mkuu. Sahihisho dogo tu. Tezi dume haiko kwenye pumbu. Iko chini tu ya kibofu cha mkojo na kuzunguuka mrija wa mkojo, nje kabisa ya scrotal sac au pumbu. Picha hapa chini inaeleza vizuri zaidi.
In fact, ili daktari aangalie kama tezi dume imevimba au la hatomasi mapumbu bali anatia kidole kwenye rectum na kuona kama imevimba.