Alagwa
Member
- May 30, 2012
- 96
- 88
Sio kila siku tunawalalamikia walimu tuuu, Mara Ohoo kiwango cha elimu kinashuka mara ohhhh watoto hawaelewi kitu!!!!!!Kama unaakili timamu hauwezi kumlalamikia mwalimu kwa hayo yote wakati hauju lolote huhusu hali ya huyo unayemtengemea akufundishie mtoto wako awe na maisha bora na akusaidie wewe, Wakati maisha ya mwalimu ni magumu na hali ngumu sana kuwa ni serekali yenu inaweza kupitihsa zaidi ya miezi 2 bila ya kumpa mshahara wake mwalimu. Kweli nimewaonea sana huruma walimu wapya kwani hata majibu ya wahudumu wa almashauri ni ya ovyo sana kuhusu mishahara ambayo sasa inakimbilia miezi 4 ya walimu wapya. Nyie wahudumu wa almashauri ivi kama mtoto wako ni mwalimu alafu amepangwa ugenini kama walivyo walimu hawa unaweza kumjibu majibu ya ovyo ovyo katika haki yake na amesha tenda kazi yake aliyo pewa na serekali. Usijisahau mwalimu pia ana mahitaji yake pia kama wewe ivi tubikwambia hautauona mshahara wako wa miezi 3 siunaweza jinyonga wewe sasa ujiulize mwalimu anatumia njia gani kuisha kwa muda wote bila ya fedha zenu za majungu na malalamiko .HONGERENI SANA WALIMU WOTE Tz MUNGU ANAJUA KILIO CHENU NA IPO SIKU YOTE HAYA YATAFIKA MWISHO Na Paul Alagwa