Comrade, kama jambo hulifahamu, uwe unauliza ili ufahamishwe! Nchi yetu ilishatoka kitambo kwenye mfumo wa zamani wa kufundishia maarufu kwa jina la Traditional Educational Model, ambao mwalimu ndiyo alikuwa kila kitu kwa mwanafunzi (yaani Teacher centered learning)!! Yaani kipindi hicho jukumu la mwalimu lilikuwa ni kufundisha tu muda wote, na wanafunzi nao ni kusikiliza tu na ku copy notes.Navojua kazi ya walimu ni kufundisha! Sasa hawa walimu wa siku hizi naona hawafundishi wanaleta michezo tu.
Mwalimu kila siku anampa mwanafunzi homework nyingi ambazo darasani hajafundisha! Unatoa homework ambayo hujafundisha darasani unategemea mwanafunzi atafanyaje homework?
Matokeo yake kila siku watoto wakirudi naanzisha tuition nyumbani kuanza kufundisha vitu ambavyo mwalimu alitakiwa afundishe darasani!
Pesa ya ada nalipa ili mtoto aje asome afundishwe lakini hafundishwi, walimu wanategemea wazazi wawafundishe watoto kufanya homework! Nimechoka hii tabia ya walimu na homework wanazotoa!
Kesho nawafata shule either wanilipe hela ya kumfundisha mtoto kufanya homework au wamfundishe mtoto kama inavyotakiwa kama pesa natoa tena nyingi tu!!
Natoa pesa watoto wasome ndo maana nimewaleta shule! Au mnafikiri wazazi hatuna kazi mpaka tuwafanyie kazi yenu ambayo tunawalipa?
Homework lengo lake mwanafunzi aongeze ufahamu zaidi kwenye mambo aliyofundishwa pamoja na Yale atakayofundishwa mbeleni ni kitu cha mhimu hapo mzazi wanunulie tu vitabu viwepo nyumbaniNavojua kazi ya walimu ni kufundisha, ila sina uhakika kama walimu wa siku hizi wanajua kazi yao na sababu ya wao kua shuleni!!
Mwalimu kila siku anampa mwanafunzi homework nyingi ambazo darasani hajafundisha! Unatoa homework ambayo hujafundisha darasani unategemea mwanafunzi afanyaje?
Matokeo yake kila siku watoto wakirudi naanzisha tuition nyumbani kuanza kufundisha vitu ambavyo mwalimu alitakiwa afundishe darasani!
Pesa ya ada nalipa ili mtoto aje asome afundishwe lakini hafundishwi, walimu wanategemea wazazi wawafundishe watoto kufanya homework! Nimechoka hii tabia ya walimu na homework wanazotoa!
Kesho nawafata shule either wanilipe hela ya kumfundisha mtoto kufanya homework au wamfundishe mtoto kama inavyotakiwa kama pesa natoa tena nyingi tu!!
Natoa pesa watoto wasome ndo maana nimewaleta shule! Au mnafikiri wazazi hatuna kazi mpaka tuwafanyie kazi yenu ambayo tunawalipa?
Then umekuwa eti labed kama jf expert member. Wewe ni mhuni ambaye umepata watoto nao ni the coming wahuniNavojua kazi ya walimu ni kufundisha, ila sina uhakika kama walimu wa siku hizi wanajua kazi yao na sababu ya wao kua shuleni!!