Hivi Kenya hakuna polisi , mbona wapinzani hawapigwi mabomu ?

Hamia Kenya Basi. Kwanza wapinzani wa Kenya wanajitambua siyo Kama nyie

Wapinzani Tanzania wanajitambua. Tatizo serekali ya CCM inayo ithaifisha mahakama kwa kuiwekea Kaimu jaji kama vile ni mkuu wa wilaya
 
Usingizi!
 
Wapinzani Kenya wanajitambua. Hawaendeshwi na mihemko au ushabiki wa kijinga. Huwezi kulinganisha na vichwa boksi aina ya "Mange kasema."
 
Wapinzani Kenya wanajitambua. Hawaendeshwi na mihemko au ushabiki wa kijinga. Huwezi kulinganisha na vichwa boksi aina ya "Mange kasema."
Uongo utakusaidia nini ?
 
Wenzenu tulimwaga damu na hawa mnaowasifu tuliwapeleka ICC the hague ndio maana leo wanaheshimu Raia na sheria za nchi. Nyie endeleeni kusbiri huruma za wasiojua umuhimu wa Amani siku wakijisikia watawapeni haki.
Ni kwel kabisa uhuruto wanaogopa sana ICC waliona moto wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thubutu! Ndata gani atafikiria hivyo?! Maana hawajuwi nani atachukuwa ufalme, sasa wampiga mabomu Raila siku ya siku anatangazwa, mkuu wa polisi utakimbilia wapi?!Hahahaha. Polisi nao watu mahesabu aise..Wajanja kama nini...
 
Watanzania wengi wanajifanya hawajui historia ya Kenya, hawa jamaa Polisi wao nao wameua sana watu ila Binsouda anaogopwa sasa hivi
 
K
Kenya siyo banana republic.
 
Inabidi kwanza watu wafe ili tufikie huko nbele
 
Wenzenu tulimwaga damu na hawa mnaowasifu tuliwapeleka ICC the hague ndio maana leo wanaheshimu Raia na sheria za nchi. Nyie endeleeni kusbiri huruma za wasiojua umuhimu wa Amani siku wakijisikia watawapeni haki.
Mkuu heshima kwako. Maneno machache lakini ujumbe mzito sana.[emoji122][emoji122][emoji122]

Sent from My Android Device
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…