Hivi Kenya hakuna polisi , mbona wapinzani hawapigwi mabomu ?

Hivi Kenya hakuna polisi , mbona wapinzani hawapigwi mabomu ?

Hamia Kenya Basi. Kwanza wapinzani wa Kenya wanajitambua siyo Kama nyie

Wapinzani Tanzania wanajitambua. Tatizo serekali ya CCM inayo ithaifisha mahakama kwa kuiwekea Kaimu jaji kama vile ni mkuu wa wilaya
 
Jamani nimeangalia Tv ya Citizen ya Kenya sasa hivi Uhuru amehutubia kwa muda mfupi akisema hakubaliani na hukumu ila ataiheshimu sijui na kue The Hague pia alikataa kuitambua hukumu za wale majaji? Hata hivyo kama ulimuangalia alionekana vile hayupo sawa kama amelewa au ni handis!!!

Usingizi!
 
Hakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !

Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !

Mungu ibariki Kenya .
Wapinzani Kenya wanajitambua. Hawaendeshwi na mihemko au ushabiki wa kijinga. Huwezi kulinganisha na vichwa boksi aina ya "Mange kasema."
 
Wenzenu tulimwaga damu na hawa mnaowasifu tuliwapeleka ICC the hague ndio maana leo wanaheshimu Raia na sheria za nchi. Nyie endeleeni kusbiri huruma za wasiojua umuhimu wa Amani siku wakijisikia watawapeni haki.
Ni kwel kabisa uhuruto wanaogopa sana ICC waliona moto wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thubutu! Ndata gani atafikiria hivyo?! Maana hawajuwi nani atachukuwa ufalme, sasa wampiga mabomu Raila siku ya siku anatangazwa, mkuu wa polisi utakimbilia wapi?!Hahahaha. Polisi nao watu mahesabu aise..Wajanja kama nini...
 
Watanzania wengi wanajifanya hawajui historia ya Kenya, hawa jamaa Polisi wao nao wameua sana watu ila Binsouda anaogopwa sasa hivi
 
K
Hakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !

Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !

Mungu ibariki Kenya .
Kenya siyo banana republic.
 
Inabidi kwanza watu wafe ili tufikie huko nbele
 
Wenzenu tulimwaga damu na hawa mnaowasifu tuliwapeleka ICC the hague ndio maana leo wanaheshimu Raia na sheria za nchi. Nyie endeleeni kusbiri huruma za wasiojua umuhimu wa Amani siku wakijisikia watawapeni haki.
Mkuu heshima kwako. Maneno machache lakini ujumbe mzito sana.[emoji122][emoji122][emoji122]

Sent from My Android Device
 
Back
Top Bottom