Hivi Kenya hakuna polisi , mbona wapinzani hawapigwi mabomu ?

Kuna wapinzani na kuna wahuni .
Kwikwikwi. Wewe jamaa subira ya vuta heri usilete thread hapa kwa mihemko ya mitihani ya darasa la saba. Fanya research kwanza kisha uje na information. Kumbuka viongozi wa kenya wamewahi kushitakiwa ICC.
BAVICHA mnaendelea kuidhalilisha.
 
Hv kenya si ndio hao hao police jana walikuwa wanatukanwa hadi wakaambiwa kwamba katika majeshi ya police thaifu na hawajui misingi ya kazi yao ni hawa hawa leo wamegeuka mashujaa tena jana walikuwa wanapiga magari na mawe ila watanzania Mungu anatuona kukamia game siyo kuzuri unataka ufanyiwe haki kirahisi rahisi tu wakenya walishamwaga damu na kuna watu wamekufa kwaajili ya matunda yanayoonekana leo hii siyo sawa na mlivyokabidhiwa uhuru na muingereza hata hvyo kuna watu walipata mateso hadi leo hii tunafurahia kuwa huru kama ngumi haijakupata huwezi kuona maumivu leo hii kizazi cha 1985s ukiwaambia kuhusu historia ya vita ya kagera/uganda hawakuelewi kwa sababu hawakuiona wala kupata madhara yake uchungu wa jambo mpaka likupate nami leo ngoja niungane na fukuza upepo kushangilia matusi ya jana ambayo leo yameoshwa na sabuni yamekuwa dhahabu
 
Mwendelezo wa thread please
 
Waliokufa juzi hauwasikia wakati wa kumpokea Raila akitokea Ughaibuni? Mabomu ya kutoa machozi yalikuwa yanarushwa na nani ili kutawanya maandamano? Uwe unafuatilia matukio ndugu.
 
Wakenya wakitoa maoni yao baada ya mahakama kutupilia mbali kesi zilizofunguliwa kupinga ushindi wa Rais Kenyatta.
 
Mbona wamepigwa juzi na wamekufa ikiwemo askari

Ila nenda ukaishi Huko
 
Au kwa vile waziri wao wa mambo ya ndani siyo Mwigulu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…