eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Ushauri - Kenya ijiondoe EAC , haifanani na wanachama wengine , ikibaki itajichafua .
sijui mpaka SASA una maoni hayo hayo??
au kinyume chake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri - Kenya ijiondoe EAC , haifanani na wanachama wengine , ikibaki itajichafua .
Wanafanya kazi kulingana na Weledi
Aisee yaan Kenya wanatuacha mbali utadhan wapo nchi za Magharibi vile na sio Afrika.
Kuna wapinzani na kuna wahuni .sijui mpaka SASA una maoni hayo hayo??
au kinyume chake.
Na Tz wapoKuna wapinzani na kuna wahuni .
Duh, nimeishia kucheka kwa kweli!Kuna wapinzani na kuna wahuni .
Kwikwikwi. Wewe jamaa subira ya vuta heri usilete thread hapa kwa mihemko ya mitihani ya darasa la saba. Fanya research kwanza kisha uje na information. Kumbuka viongozi wa kenya wamewahi kushitakiwa ICC.Kuna wapinzani na kuna wahuni .
Kuna wapinzani na kuna wahuni .
Mwendelezo wa thread pleaseHakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !
Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !
Mungu ibariki Kenya .
Hata mimi nawapa big upMkuu leo watu wanaonyesha hisia zao ila kwa kusema kweli ingekuwa hpa kwetu ile mimaji ya washa washa ingepata kazi, sipati pia wale waliyokuwa wanagara gara barabarani wangekuwa na hsli gani...lkn ndo demokrasia, big up kwa askari wa kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wapinzani na kuna wahuni .
Waliokufa juzi hauwasikia wakati wa kumpokea Raila akitokea Ughaibuni? Mabomu ya kutoa machozi yalikuwa yanarushwa na nani ili kutawanya maandamano? Uwe unafuatilia matukio ndugu.Hakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !
Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !
Mungu ibariki Kenya .
Uongo utakusaidia nini wewe ?Kenya wanapigwa risasi kabisa na sio mabomu