Big up kwa uhuru kenyata na raila ndo hawakuamurisha ila angethubutu tayar saiv kungekuwa na mshike mshike
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya ndo wanaikaribia dunia ya pili.ndo ujue bado Tuna safari ndefu bongolandHakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !
Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !
Mungu ibariki Kenya .
Wacha kudanganya watu wewe,Kenya unauawawa ukileta za kuleta ukitaka mifano nikuonesheHakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !
Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !
Mungu ibariki Kenya .
baada ya matokeo kutangazwa palizuka maandamano kisumu na nairobi,polisi walitumia nguvu,watu walipoteza maisha,hukufuatilia habari au kipindi hiki ulikua unamnyoa maalim ndevu!!?Ushauri - Kenya ijiondoe EAC , haifanani na wanachama wengine , ikibaki itajichafua .
Huku mnawafanya watu wapumbavu halafu mnawabatiza jina la Wanyonge.Ulishasikia Kenya wanaitana Wakenya wanyonge kama hapa?eti napigania watanzania wanyonge!craaaap
aliliona au aliliasisi yeye na halikuwahi kumkera,hata hivyo demokrasia kwenye nchi ambayo mbumbumbu ni wengi kuliko werevu..ni sumu tamuKipindi kile cha power sharing nadhani some Institutions ziliundwa vyema na Katiba yao mpya imestreamline mambo mengi. Tatizo huku kwetu mtu mmoja amepewa power ya kuwafanyia maamuzi watu wote. Nyerere (RIP) aliliona hili kitambo ila akaamua kuliacha lilivyo.
Baada ya kulazimisha......... Hapa kwetu mtu kavaa tsheti ya ukuta anajiendea shambani anaitwa mchochezi, sasa sijui anaenda kuchochea mazao yasiote?Wacha kudanganya watu wewe,Kenya unauawawa ukileta za kuleta ukitaka mifano nikuoneshe
Siku ya jumatatu vilitembea virungu vya kutosha mahakamani baada ya watu wa Odinga kulazimisha kuingia kwa wingi mahakamani,mpaka sasa mlinzi wa Odinga ana kesi ya kuchomoa bastola hadhari na kuipunga kama mwenge wa uhuru