The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Yakwenu yanawashinda unadandia yasiokuhusu.Hilo ndio swali huwa najiukuza maana mda mwingi Wana entertain mambo ya Dini ya Kikristo na kuwatenga Waislamu..
Kwa nini iko hivyo? Kama Wajalua wamepigwa chini Urais kwa Waislamu si ndio itakuwa haiwezekani kabisa?
Tanzania mnafanya hivyo mbona bado ni ushenzi tu hamna cha maana.Hilo ndio swali huwa najiukuza maana mda mwingi Wana entertain mambo ya Dini ya Kikristo na kuwatenga Waislamu..
Kwa nini iko hivyo? Kama Wajalua wamepigwa chini Urais kwa Waislamu si ndio itakuwa haiwezekani kabisa?
Nao ni kama Zanzibar tuHilo ndio swali huwa najiukuza maana mda mwingi Wana entertain mambo ya Dini ya Kikristo na kuwatenga Waislamu..
Kwa nini iko hivyo? Kama Wajalua wamepigwa chini Urais kwa Waislamu si ndio itakuwa haiwezekani kabisa?
Hakika umenitangulia kupost,mwenyewe apa nilifungua jukwaa ili niandike mawazo yangu lakini nimekutana na thread yako tayari.
Mbaya zaidi sherehe/hafla za kitaifa zinapambwa na taratibu za dini ya kikirsto pekee mf,siku ya kutangaza matokeo ya urais na Leo pia siku ya Kula kiapo huko ni kuligawa taifa.Muda so mrefu udini unaenda kulitafuna Hilo Taifa na pia rais mteule anaonekana wazi wazi kabisa kwamba atakua mdini wa kweli.
Africa ni waislam na Wakirsto hamna zaidi,ukisikia Otherwise sijui sina dini huyo ni mkristo ameasi tu, it's impossible kwa muislam kusema sina dini....Kenya waislam wachache,ila kwavile wapo free hawatengwi sio lazima wawe na raisi muislam.Umeona Muslims tu wengine iko wapi ?
Tzn ni mfano wa kuigwa kwa amani na uvumilivu na mshikamano wa kidini hapa Africa..Yakwenu yanawashinda unadandia yasiokuhusu.
Kama tu ilivyo ngumu mkristo kuwa Rais Zanzibar.Kenya waislamu hawazidi 10% ya population.
Uislam kwa kenya uliishia mikoa ya pwani tu ambayo ni michache sana. Tofauti na Tanzania uislamu umefika mpaka bara kama tabora etc sababu ya misafara ya biashara ya waarabu.
Pia sio kenya tu. Ni ngumu sana muislamu kushika urais Hata wa nchi jirani zingine kama rwanda, burundi, congo, zambia, malawi, uganda sababu mwarabu hakufika kwa wakati wakati analeta dini
Kingekuwa sio kigezo msijekuwa na kihelehele cha kuwapendelea Wakristo au Ruto Kujifanya mhubiri kila siku.Dini ni kigezo cha kuwa Rais?
Kama tu ilivyo ngumu mkristo kuwa Rais Zanzibar.
Ushenzi gani wewe tumbili mweusi? Tanzania ndio tumewafundisha hata ustahimikivu wa kisiasa..Tanzania mnafanya hivyo mbona bado ni ushenzi tu hamna cha maana.
Dini ni Muslimu na Christians tuu.Umeona Muslims tu wengine iko wapi ?
Hii in tofauti na Zanzibar?Hakika umenitangulia kupost,mwenyewe apa nilifungua jukwaa ili niandike mawazo yangu lakini nimekutana na thread yako tayari.