Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Hilo ndio swali huwa najiuliza maana mda mwingi wana entertain mambo ya dini ya kikristo na kuwatenga Waislamu.

Kwa nini iko hivyo? Kama Wajaluo wamepigwa chini Urais, kwa Waislamu si ndiyo itakuwa haiwezekani kabisa?👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220917-091018.png
    Screenshot_20220917-091018.png
    244.1 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220917-091052.png
    Screenshot_20220917-091052.png
    172.2 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220917-091119.png
    Screenshot_20220917-091119.png
    234 KB · Views: 8
Hakika umenitangulia kupost,mwenyewe apa nilifungua jukwaa ili niandike mawazo yangu lakini nimekutana na thread yako tayari.

Mbaya zaidi sherehe/hafla za kitaifa zinapambwa na taratibu za dini ya kikirsto pekee mf,siku ya kutangaza matokeo ya urais na Leo pia siku ya Kula kiapo huko ni kuligawa taifa.Muda so mrefu udini unaenda kulitafuna Hilo Taifa na pia rais mteule anaonekana wazi wazi kabisa kwamba atakua mdini wa kweli.
 
Kenya waislamu hawazidi 10% ya population.

Uislam kwa kenya uliishia mikoa ya pwani tu ambayo ni michache sana. Tofauti na Tanzania uislamu umefika mpaka bara kama tabora etc sababu ya misafara ya biashara ya waarabu.

Pia sio kenya tu. Ni ngumu sana muislamu kushika urais Hata wa nchi jirani zingine kama rwanda, burundi, congo, zambia, malawi, uganda sababu mwarabu hakufika kwa wakati, wakati analeta dini
 
Kenya waislamu hawazidi 10% ya population.

Uislam kwa kenya uliishia mikoa ya pwani tu ambayo ni michache sana. Tofauti na Tanzania uislamu umefika mpaka bara kama tabora etc sababu ya misafara ya biashara ya waarabu.

Pia sio kenya tu. Ni ngumu sana muislamu kushika urais Hata wa nchi jirani zingine kama rwanda, burundi, congo, zambia, malawi, uganda sababu mwarabu hakufika kwa wakati wakati analeta dini
Kama tu ilivyo ngumu mkristo kuwa Rais Zanzibar.
 
Hakika umenitangulia kupost,mwenyewe apa nilifungua jukwaa ili niandike mawazo yangu lakini nimekutana na thread yako tayari.

Mbaya zaidi sherehe/hafla za kitaifa zinapambwa na taratibu za dini ya kikirsto pekee mf,siku ya kutangaza matokeo ya urais na Leo pia siku ya Kula kiapo huko ni kuligawa taifa.Muda so mrefu udini unaenda kulitafuna Hilo Taifa na pia rais mteule anaonekana wazi wazi kabisa kwamba atakua mdini wa kweli.
Hii in tofauti na Zanzibar?

Waislamu Kenya ni minority Kama 15%,hilo la kugawanya nchi haliwezi kutokea mkuu
 
Back
Top Bottom